Wanaume jamani tujihadari..

Wanaume jamani tujihadari..

Kama jamaa yako. Asali ishaisha awahi kabla hawajaanza mrina yeye

😁😁😁ata hivyo kabinti kametetea nafasi yake.. Kalijua tu lazima arudi...

Ngoja tusubiri ataambiwa nini akienda..
 
Binti amwambie tu hamna dawa. Amuoe yaishe.
[emoji16][emoji16][emoji16]ata hivyo kabinti kametetea nafasi yake.. Kalijua tu lazima arudi...

Ngoja tusubiri ataambiwa nini akie da..
 
Mwenye anaeijua iyo dawa asiisambaze kwa wadada maana tutapata tabu sanaa..
 
wanawake wengi wabinafsi. Mi mwenyewe vya kushare staki. Nataka yangu na yangu pekee

Daah,hiyo haipo bibie....Sasa kama sisi wengine hatutosheki kabisa na sio kwamba tunajiendekeza ila ni silika zetu tu hizo.
 
Ningekuwa huyo Dada wa kijijini siku nampigia simu huyo kaka"vipi unaendeleaje na hali" [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo ina maana hata kama jamaa akimuowa huyo binti,ina maana kama huyo binti akitangulia mbele ya haki jamaa hata weza tena kulala na mwanamke mwingine?
 
Back
Top Bottom