Wanaume jamani mnatuchefua

Mwanaume ukiona vinyweleo vya masikio vinaanza kuota, jihesabu kuwa umri umeanza kusogea.

Binafsi vinyweleo vya puani vinanikera hadi nasikia kuumwa. Vipo vimashine vya kupunguza hiyo makitu.
 
kuna vitu huwezi kuzuia ni masuala ya genetics...

kuwachukia watu wa namna hiyo unakuwa huna tofauti na mtu anayemchukia mlemavu wa ngozi etc...

na namna asili ya nywele ilivyo, kadiri unavyozikata ndivyo zinavyokuja kwa kasi zaidi...
 
Mimba ni noma sana. Tafuta ndimu za kutosha,, zinasaidia kupunguza kuchefukwa
 

dada rudi tena katka usomaji wa maumbile ya binadamuu,mara nyingi huwezi kuona pua ilio na matundu madogo kua na nywele,wala c raisi ,ila kwa wengi wenye matundu makubwa upewa nywele ndani yake kwa ajili ya vumbi,sawa sawa na wanyama pori wa sehmu za bardi kama ulaya uwa na manyoya mengi wa sehem kwenye jua kali manyoa hua aya mei mengi-je ukiyakata ndo ujanjaa au !?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…