Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,616
- 2,813
Duuuh ya kweli haya???Mwanaume msafi utampata wapi? Mwanamke ni kila kitu unaposikia harufu mbaya unaichukua unaiweka kwenye maji, ndio maana watu wasifia wa tanga ni sawa bwana anakuja kitandani mambo yanaanza bila kuoga, lakini wao wanapelekwa kuoga, ni wajibu wa mwanamke usafi wa mume si tanga kwa mwanamke naejiheshimu hii si ishu kabisa.
Mhhhh tutasikiq mengi leoPia kujisafisha sana haifai kunaondoa hisia
Sina msitu. Ila yy akiwa nao siwezi kumtenga. Badala yake naweza fanikisha zoezi la kuondoa nisichokitakaKwahiyo una msitu?
Hongera sana...jamaa atakuwa anatembea na toothpick mfukoni
MhSina msitu. Ila yy akiwa nao siwezi kumtenga. Badala yake naweza fanikisha zoezi la kuondoa nisichokitaka
Hahahahaa hisia zipi?Pia kujisafisha sana haifai kunaondoa hisia
Nishawahi waona. Hata siyapendi kwa kweli.Umefurahia nini,,ushawah waona?unayapenda?
Halaf yanatia kinyaaNishawahi waona. Hata siyapendi kwa kweli.
Aisee baba angu mim ni very handsome man hana hizo nywelebaba ako ananyoa nywele hzo
Wao wanaona kawaidaMhhhh tutasikiq mengi leo
Kaanzishe yako fbHii mada ingefaa sana kule fb
Nimeudhika nikajikuta nasema vile tu kuhusu waxAloo hapo kwenye wax sikioni inatakiwa uwe makini cos ule wax unakazi kubwa xana, kuutoa toa unawezapata matatizo ya masikio.
Nivyema kumuona Daktari specialist wa masikio akuelekeze namna ya kusafisha,cos unashauliwa kusafisha pinna tuu,kitundu cha kuelekea ndani ya sikio usikiguse
Wewee anzisha uzi wakoJohn ambonise...namtafuta ni mwenyeji wa mbeya...aliwai kufanya kaz magomen wilayan.....anaemjua plz..0674251170
Mim mpaka kumkubali mwanaume awe msafi nisisikie harufu mbaya mwilini mwakeUmezitoa hizo za kwapani? Hala Hala asije akakutoa nduki
Kikwapaa hapo sasa nakuambia live tumia deodorant
Mim mwanaume akinitaka cha kwanza kama anavutia namchunguza kama hanuki mdomo,hanuki kwapa,miguu ipoje ,harufu yake yaan ntajua tu huyu ni smart msafi
Ukiwa na kimoja hapo ntarekebisha ukiwa navyo vyote siwezi
Duuh hatar sana hii, sidhani kama tutakuwa tunawasaidia zaidi ya kuwafanya wazidi kuwa wachafu, hivi mkuu tuongee ule ukweli tusiongee kufurahisha jukwaa kwa mtu anayejielewa iwe mwanaume au mwanamke anaweza kusubiria kuhimizwa kuoga au kujiswafi sehemu zake muhimu? Hapana aiseeh hilo jambo nalipinga kwa asilimia miambili. Kuna vitu vya kuhimizana /kushauriana lakini sio kuoga anayesubiria kuambiwa kaoge huyo ni mchafu aliyetukuka katika wachafu.Mwanaume msafi utampata wapi? Mwanamke ni kila kitu unaposikia harufu mbaya unaichukua unaiweka kwenye maji, ndio maana watu wasifia wa tanga ni sawa bwana anakuja kitandani mambo yanaanza bila kuoga, lakini wao wanapelekwa kuoga, ni wajibu wa mwanamke usafi wa mume si tanga kwa mwanamke naejiheshimu hii si ishu kabisa.
Kwa upande wake sijui ,mi nasemea upande wangu navyotaka
Ndio maana hata simkujibu aisee niliona ntajichosha bora umemjibu,,vitu vingine sio vya kumwambia mtu lazima ajiongeze mwenyeweDuuh hatar sana hii, sidhani kama tutakuwa tunawasaidia zaidi ya kuwafanya wazidi kuwa wachafu, hivi mkuu tuongee ule ukweli tusiongee kufurahisha jukwaa kwa mtu anayejielewa iwe mwanaume au mwanamke anaweza kusubiria kuhimizwa kuoga au kujiswafi sehemu zake muhimu? Hapana aiseeh hilo jambo nalipinga kwa asilimia miambili. Kuna vitu vya kuhimizana /kushauriana lakini sio kuoga anayesubiria kuambiwa kaoge huyo ni mchafu aliyetukuka katika wachafu.