Wanaume jamani mnatuchefua

Wake zetu wanazipenda sana so inakuwa nguma sana kuzinyoa kumridhisha mtu mwingine or rather mchepuko wakati hiyo ndio furaha ya wife..
Wanavumilia tu,,mim hakuna na nnavyoongea utavipunguza tu nawahurumia wenye waume wa hivyo
 
Wadad wa siku hizi?
Huku pesa yetu mnaitaka,huko malalamiko kibao
kwani mtu akikutokea lazima umkubali?
utakubalia wangapi? na hayo manywele
Mungu ameyaweka kukuokoa maana
huwezi kusema NO.
Mfanye vyote tunavyovitaka
 
Mrekebishe kwanza mumeo ndio uje hapa
 
sasa wewe unaanzaje kumvulia nnguo mwanaume wakati unayaona manywele yake kabisa,si mkatalie aende kwa anayezipenda hizo nywele? usiyempenda muache asepe
 
Masista duu bwana!!!
 
ASANTE....
wachache tumekuckia, Tuta jirekebisha...
 
Siwezi kuwa na mwanaume mwenye manywele yametokeza nje,,naanzaje sasa
yaani wewe nimekuelewa ila kumbuka wamesema kuna wanaopenda. so ni kujikataa tu kwa hao watu na maisha yanaenda
ni ushauri tu my dear maana hutaweza kuwa na choice zinazofanana na wengine. Binafsi sijawahi kutana na wa hivyo
 
Mbna mtoa mada una umbo la tufe lakini hatuja lala mika. Tuache na nywele zetu. Zitu saidie kuchuja microganism na dust.
 
Nywele za pua ni kwa ajili ya kupunguza vumbi..na mwanaume nywele ziwepo puani, makalioni, una ambiwa mwanaume Kama Hana nywele kule pia, ujue Hilo ni BWABWA so, labda ni kweli zakera Ila zina sababu ya kuwepo pale, zile hazinyolewi, zinavutwa moja moja, mnaita kunyofoa, zinanyofolewa zile, ukizitoa zote noma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…