Wanaume jamani mnatuchefua

Sasa watazikata na nini jamani mbona mmetukamia sana leo..
 
Wadad wa siku hizi?
Huku pesa yetu mnaitaka,huko malalamiko kibao
kwani mtu akikutokea lazima umkubali?
utakubalia wangapi? na hayo manywele
Mungu ameyaweka kukuokoa maana
huwezi kusema NO.
hahahahahahah na kweli kabisa, ingekuwa kila anayekutokea lazima umkubali ingekuwa hatari sana.
so awe anasema tu nooop na asepe maana sio kwa mipasho hii
nasikia kuna wengine wanazipenda so awaache tu jamani

teh teh nimecheka kweli leo
 
Wanaume tumevamiwa leo kuna mwingine analamika boxer chafu huko
 
hahahahahahah na kweli kabisa, ingekuwa kila anayekutokea lazima umkubali ingekuwa hatari sana.
so awe anasema tu nooop na asepe maana sio kwa mipasho hii
nasikia kuna wengine wanazipenda so awaache tu jamani

teh teh nimecheka kweli leo
Siwezi kuwa na mwanaume mwenye manywele yametokeza nje,,naanzaje sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…