Wanaume jamani mnatuchefua

Wanaume jamani mnatuchefua

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,596
Hivi inakuwaje nyie wanaume huwa hamjiangalii kwenye vioo,,

Unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,

Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,, basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )

Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulianje. Hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,, Safisheni pua zenu, masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa
Mzee yusuph aisee usirudie kujirekodi vile umenitia kinyaa mpakq najiuliza huyu Malkia Leyla anaona kawaida tu?

Wanaume mnaudhi sana wengine mpaka masikioni si mfanye wax na mnavyokuja kututongoza kifua mbele na nywele zako puani ptuuuuuuu

Nimemaliza kwa leo kama una pua imetokeza vinywele nyoa mnatutia kichefuchefu wengine bana
 
Hivi inakuwaje nyie wanaume hywa hamjiangalii kwenye vioo,,unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,
Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,,basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )
Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulia jr hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,,safisheni pua zenu ,masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa

Nywele za puani ,,ziliweka kwasababu maalumu ....kwa taarifa nikwamba zile SIO mavuzi au nywele za kwapa.

Sitoshangaa kama kesho utakuja nauzi ukisema....Wanaume kope zenu na nyusi zinatuchefua .....
 
Wewe zitatokaje nje ya pua zinachungulia bana sijasema wanyoe zote wapunguze kule kuchungulia nje ni kinyaa
 
Hivi inakuwaje nyie wanaume hywa hamjiangalii kwenye vioo,,unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,
Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,,basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )
Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulia jr hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,,safisheni pua zenu ,masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa
Mzee yusuph aisee usirudie kujirekodi vile umenitia kinyaa mpakq najiuliza huyu Malkia Leyla anaona kawaida tu?
Wanaume mnaudhi sana wengine mpaka masikioni si mfanye wax na mnavyokuja kututongoza kifua mbele na nywele zako puani ptuuuuuuu
Nimemaliza kwa leo kama una pua imetokeza vinywele nyoa mnatutia kichefuchefu wengine bana
Sasa ukiona mtu kwanini usimfate live na kumwambia
 
Duuuuh we JamAa nomaa!!! Kila thread lazm uwe wa kwanza kukomenti
Pole sana...ngoja waje
 
download.jpg
 
Wadad wa siku hizi?
Huku pesa yetu mnaitaka,huko malalamiko kibao
kwani mtu akikutokea lazima umkubali?
utakubalia wangapi? na hayo manywele
Mungu ameyaweka kukuokoa maana
huwezi kusema NO.
 
Tuambieni hizo nywele za puani ninaitwaje? Za masikioni je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom