Wanaume ingieni huku Mara moja

Moniccca nimekuchoka habari zako
 
Katika maisha yako ushawahi soma biblia?? mwanamke aliumbwa awe msaada wa mwanaume not otherwise!
 
cc moniccca
 
Eti kaka nikukande mgongo kidogo?nikamwambia hapana nasafisha tu kidevu naondoka,akadakia kusema au nikitoka kazini nije ulipo nikufanyie massage?hapo ndo nikajua nimezungukwa na pepo
Sio pepo ni mabadiliko... Wameanzisha mobile massage therapy... Teh Teh
 
Na wanawake walikuwepo zamani, sasa hivi biscuit tu....
 
Posts za Moniccca burudan sana.... Kinachoharibu ndoa nyingi ni kitendo cha kuleta uana harakati kwenye hii marriage institution.. Wanawake wamekuwa UKAWA... Always on constant struggles to liberate themselves from muscles of CCM domination... Our African beauty Queens also are in constant struggle to gain their naturally lost power over men...
Women wants to change the structure of our families, they no longer want pyramidal structure that ranks men in peak of structure, wanataka flat structure ambayo itawaweka on par with men... Idea ni nzuri lakini tatizo ni cultures zetu watu weusi. Mabadiliko yanawezekana Lakin it ll take centuries for Black men to accommodate these changes..
 
we monica si umeolewa juz tu..leo mmeo kashaanza kukuletea mfumo dumu
 

Tatizo lililojitokeza kwa Leah2, ni uzao wa maamuzi yake kwani lilikuwa linaepukika kama angejitambua na kuitendea haki nafasi yake kama mke, ...... Lah! sivyo asingeolewa kwanza!
 
Once made equal to man, woman becomes his superior.

Socrates

Wanaume wenye akili watanielewa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…