Wanaume ingieni huku Mara moja

Haya tumekusikia,ila usisahau kumtii mumeo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Umeandika marefu nawewe halafu unarudia points za wenzako, emu kaa chini. Next..

Do you think kila anayechangia anasoma comment za wengine?..kwa hiyo akili ya taarabu huwezi kuacha kulalamikia wanaume hapa.
 
Shikamoo brother...jana tu nikiwa Barbershop baada ya kunyoa nikaenda kuoshwa na mdada,maneno niliyoambiwa na huyo mdada nilistaajabu,nikamuuliza yeye ni kabila gani. akatamka kabila ambalo ni langu,sikuamini.hawa viumbe ni shida
Funguka mkuu,aliyanena yapi?
 
Shikamoo brother...jana tu nikiwa Barbershop baada ya kunyoa nikaenda kuoshwa na mdada,maneno niliyoambiwa na huyo mdada nilistaajabu,nikamuuliza yeye ni kabila gani. akatamka kabila ambalo ni langu,sikuamini.hawa viumbe ni shida
Alisemaje?
 
Nimekuelewa sana mkuu nadhanj yamewaingia haswaaa
 
tumekusikia ndugu, lakini lear2 si kajitakia mwenyewe, na wewe si uko kwenye ndoa changa, kamlete mdogo wako uone then uanze kuja hapa jamiiforum kulialia!
 
Mim komandoo ajaribu aone, ntamng'oa meno ya mbele bila ganzi
 
Alisemaje?
Eti kaka nikukande mgongo kidogo?nikamwambia hapana nasafisha tu kidevu naondoka,akadakia kusema au nikitoka kazini nije ulipo nikufanyie massage?hapo ndo nikajua nimezungukwa na pepo
 
Do you think kila anayechangia anasoma comment za wengine?..kwa hiyo akili ya taarabu huwezi kuacha kulalamikia wanaume hapa.
Jichungulie maungoni mwako huenda jinsia yako imebadirika..maana naona umeanza tabia za kike
 
Shikamoo brother...jana tu nikiwa Barbershop baada ya kunyoa nikaenda kuoshwa na mdada,maneno niliyoambiwa na huyo mdada nilistaajabu,nikamuuliza yeye ni kabila gani. akatamka kabila ambalo ni langu,sikuamini.hawa viumbe ni shida
Tushirikishe hayo majibu au huna ujasiri
 
Ash Monica lover lover,,ur sweet love baby kill me,,,!!¡!!!!!!!!!!!
Ushashiba chain ya Shem unaanza kusumbua eeh!!?
 
Eti kaka nikukande mgongo kidogo?nikamwambia hapana nasafisha tu kidevu naondoka,akadakia kusema au nikitoka kazini nije ulipo nikufanyie massage?hapo ndo nikajua nimezungukwa na pepo
Mkuu huko,ndo lugha za kazi zao hizo!!teh teh teheee
 
Eti kaka nikukande mgongo kidogo?nikamwambia hapana nasafisha tu kidevu naondoka,akadakia kusema au nikitoka kazini nije ulipo nikufanyie massage?hapo ndo nikajua nimezungukwa na pepo
Ukiwa si mpenzi wa hayo mambo ya kukandwa ishia tu kwa kinyozi, akiishakunyoa mwambie akusafishe kidogo halafu uondoke. Hiyo mitihani, ni rahisi kushawishika!!
 
Mimi sipo hivyo tena nimetoka kumfulia wifi yako pamba zake au kamtoko flani kinamuhusu,,,
 
Monica, habar za ndoa mpya?

nataka nikusihi hujaolewa ili kwanza utimize ndoto zako pekee, ndani ya ndoa,pasi kujua ndoto za mmeo ni zipi?kinachoonekana hapa, LEAH hakujua ndoto zammewe, yeye alikurupuka, akampangia mmewe, ohooo subiri nimalize mastazi, ndoa sio mastazi bhna ndoa ni watoto, komeni nyinyi vischana visivyo na adabu,yan wwe mi nakuoa unaniambia mastaz what is mastz? mme wa lea ni mvumilivu mimi mimba ningemtia mama mkwe na si mdogo mtu pumbafu, mastazi inazuia kuzaa, wanawake wa vijijini wanalima maekali uku na mimba kuanzia mwezi wa kwnza mpaka wa tisa wewe mimba unaona tatzo, pumbafu,Monicca nakusihi, tanua paja, zunguzsha viungo, mmeo anataka mtto.sio mastazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…