mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 945
- 772
Hayo matusi punguza basi..wewe unataka haki sawa iwe wapi??Huyu dogo kilaaaaa kitu anataka haki sawa na wanawake, imebaki aombe kunaniliwa tu!!
Kidogo umeanza kunielewa. Ni hivi kila siku zinakuja threads mke mfanyie hivi mumeo, sionagi threads za mume mfanyie hivi mkeo. Na umeona comments zenu humu, kuwaspoil wake zenu ni utumwa kwenu.Mme ni mwili wa mke pia...mfanyie na wewe pia..na yeye anataka hiyo care..na uzuri ni kwamba ukimfanyia yeye once,yeye atakufanyia twice...you are the queen and He is the King...you want him to be your servant...be servants to each other...sio mnalilia hapa wakati hamufanyii waume au wapenzi wenu yale mnayotaka kufanyiwa na wao.
Teh nigawe tu wenzako wanigombanieHahahaaaa!! Dota nakugawa!
Basi bi mkubwa mweeeHuyu dogo kilaaaaa kitu anataka haki sawa na wanawake, imebaki aombe kunaniliwa tu!!
Si ukamuoe huyo bibi! Kwani umelazimishwa!Wanawak wa Leo vimeo. ..
Bibi na babu waliishije na mpaka Leo wapo.
Hizo filamu za kifilipino zimewapa ujing
Nijikute tu nikikugawa!!Teh nigawe tu wenzako wanigombanie
Basi bi mkubwa mweee
Hahaa na arudishe miaka nyuma wakaishi hizo enzi za mwalimu. Vibibi vya sasa hivi vinaangalia wafilipino pia tehSi ukamuoe huyo bibi! Kwani umelazimishwa!
Yaani na arudi tu maana hamna namna!! Kutukalia kooni utadhani wao wanafanana na babu zetu!!Hahaa na arudishe miaka nyuma wakaishi hizo enzi za mwalimu. Vibibi vya sasa hivi vinaangalia wafilipino pia teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] I can't youYaani na arudi tu maana hamna namna!! Kutukalia kooni utadhani wao wanafanana na babu zetu!!
Mfyuuuu!!
Arudi avae na magome ya miti kabisa.
HujielewiNadhani wanaume kamili hatuendeshwi na mawazo ya kike. Ukitaka uishi kwa pressure fuata huo ushauri utajuta,,,,OVA
Kama ni hivyo sawa...lakini mke mwenye hekima huijenga nyumba yake..tafuteni hekima..mwanamke asiyefanyiwa hivyo akatumia sababu hiyo kumsaliti mwenzake ni mpumbavu..na nyumba yake itavunjika.Kidogo umeanza kunielewa. Ni hivi kila siku zinakuja threads mke mfanyie hivi mumeo, sionagi threads za mume mfanyie hivi mkeo. Na umeona comments zenu humu, kuwaspoil wake zenu ni utumwa kwenu.
Nachosema ni hiki, kwenye mahusiano kila mtu agive his/her all, na usitegee mwenzako aanze ndo na wewe urudishe. Kwa nini wewe usianze kumspoil mkeo, afu yeye akufanyie twice? Kuna tatizo gani wewe ndo ukianza badala ya kumsubiri yeye aanze?
Hayo ya kusaliti siyajaongea, na wala siyasupport. Kusaliti ni choice tu, anayetaka kusaliti atasaliti hata ukiwa unambeba mgongoni kwenda job daily. Ila msisahau kutuspoil eeehKama ni hivyo sawa...lakini mke mwenye hekima huijenga nyumba yake..tafuteni hekima..mwanamke asiyefanyiwa hivyo akatumia sababu hiyo kumsaliti mwenzake ni ********..na nyumba yake itavunjika.
Mnapolia hamwolewi mnafikiria nini. ..wanawake wanaoishi kizamani ndio wanaolewa kaeni na makope na mikucha yenu msubiri kufunguliwa mlango wa gari.Hahaa na arudishe miaka nyuma wakaishi hizo enzi za mwalimu. Vibibi vya sasa hivi vinaangalia wafilipino pia teh
Sheikh Yahya hatutoolewa kwa sababu tumepishana mitazamo na wewe? Unahisi dunia nzima wanaume wote wana ufahamu kama wako? Teh wanaume kama wewe hatuwataki hata kwa kushinikizwa na Umoja Wa Mataifa. Anyway endelea kuomba labda Mungu atasikia maombi yako juu yetu. Me nakuombea tu uanze kumspoil mkeoMnapolia hamwolewi mnafikiria nini. ..wanawake wanaoishi kizamani ndio wanaolewa kaeni na makope na mikucha yenu msubiri kufunguliwa mlango wa gari.
Nyie ni wa chapa ilale
Thanks much darling. Sisi tunayajua tu maisha yetu. Yako hatuyajui wala hatutaki kuyajua tehAny way hata maisha huyajui napoteza muda tu hapa. ...All the best na hao Bae wenu wanaowafungulia mlango wa gari
Nimekupenda bure...na nimegundua tofauti yako wewe na atoto.Hayo ya kusaliti siyajaongea, na wala siyasupport. Kusaliti ni choice tu, anayetaka kusaliti atasaliti hata ukiwa unambeba mgongoni kwenda job daily. Ila msisahau kutuspoil eeeh