kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
- Thread starter
-
- #161
Unakuta ni mjanja ila hayo mambo, yamempitia kushoto😂😂eeh nkajua ushapata, niltaka unpee chimbo namimi, nataka washamba kama hao,hadi akaibiwe tayari nshamfaidi vilivyo🙂🙂
Kumbe huwa ni makusudiunazungumzia Generation Z 😛 ?, kama kwa sisi Generation X, tulifanya hayo makosa tulipokuwa trainers, kwa sasa GEN X akifanya hivyo basi ameamua kufanya summary kwa makusudi
Loh! Watu mna mawazo ya mbali sana😂😂Natabiri aliyekuagiza ulete malalamiko haya ni wewe😅😅😅
😂😂😂naona mmeandamanaTushakubaliana anaeandaliwa ni samaki tu, yanini kupoteza mda wakati mambo yashajipa! Kwanini mpaka uandaliwe kwani unashindwa kujiandaa mwenyewe.
Wewe si ulituaga tukutane mwakani🌝😳 kumbe Kuna kuandaana 🤦
Achana nae huyo mzee wa "rara nikurengee" njoo kwangu mdigo wa muheza nikuandae dk57 na tatu za kuloweka mchezo kwishaaLoh! Watu mna mawazo ya mbali sana😂😂
Hayo yote umejuaje kijana mpya😂😂Kama hisia unazo Vzr unataka uandaliwe we kachumbari??
Inabidi ukimwona tuu kuwe kwa majimaji huku ikipwita kutaka!!
Mm ni kijana mpya nasubiri mke atokaye kwa bwana,,
Ndiyo nimesikia yaani nimesikitika sana kwanini wanachezea hela za wananchi hiviHivi waifu material mdogoangu una taarifa km Yanga imechangia million 100?
Nimesik8a kwenye Vikao vyetuHayo yote umejuaje kijana mpya😂😂
Ndiyo mkuu,nitarudi nilikotoka tutaonana mwakani🤦Wewe si ulituaga tukutane mwakani🌝
Huo ni ukatili sana na hamuwezi kuenjoyKwasababu Sisi tunataka tukojoe habari ya kukuandaa me hainihusu madhali umekula pesa zangu wala usiwe na Shaka utaandaliwa na Parachute au engonga style itahusika Tu🤣📌
Umefanyaje mkuu?Huu mwandiko huu...
Kuna watu wanadai pesa kwenye jambo la starehe kama hilo?Wanaandaliwa wasiodai pesa
Huwa nakufikiria wewe mpenziUkitoa kuwaza ngono kitu gani kingine huwa unaweza kukifikiria vizuri?