Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Kwani sisi hua tuna andaliwa na nani?

Swali la nyongeza....Katika hiyo research yako,umesha pitiwa na wanaume wangapi mpaka kufikia kuleta malalamiko yako hapa?
Swali zuri sana, mnatakiwa kuandaa wote wawili

Haya malalamiko nimepewa na rafiki yangu wa karibu kabisa, nikaona siyo mbaya nikiyawasilisha hapa jukwaani.
 
Tunawahi chap mnara usishuke.
Kwasababu ukishuka shughuli yake ni pevu sana kuunyanyua tena.
 
YES,NO REFORMS,NO ELECTION.
Hongera kwa mada tamu;
Sasa hiyo haraka hutokana na sababu moja nayo ni kwamba LONG TIME INTERVAL WITHOUT SEX.
Kwa hiyo shahuku ya kufanya tendo inakuwa kubwa na hivyo kuweka utofauti kati ya mara ya kwanza na ya pili. Hapa tendo la kwanza itamchukua muda mfupi tu amemaliza lkn la pili muda utaongezeka kidogo kutokana na kiwango cha manii kuwa kimepungua kwenye reserve yake.
 
Wee naye acha kudinywa sana bwana mbususu utalepweta
 
Ya Nini kusubiri,wakati network Iko vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…