Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Sasa km nishabadili uboo na kuwa ****, nakuaje tena mwanaume hapo? Hujambo lakiniii?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umetoa tena sasa hii imbombo ngafu mutual akiona hako kapicha anajua mama mchungaji kabisa kumbe?

Karibu mlimani city tuendelee kupokea mapesa ya chama 🀣🀣🀣

USSR
 
Umetoa tena sasa hii imbombo ngafu mutual akiona hako kapicha anajua mama mchungaji kabisa kumbe?

Karibu mlimani city tuendelee kupokea mapesa ya chama 🀣🀣🀣

USSR
Mie sio tUuh mama mchungaji, ni mtawa halali.
Kuhusu Mcity na mapesa ya chama, mie siasa sio vitu vyangu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wengine tuna stress nyingi mnara unaposimama tunataka kuchomeka tukichelewa kuchomeka mnara unaanguka, kila mtu apambana na hali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…