Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Utasikia tu kbl hata ujaweka et ni promise kwanza kma utanipa mtaji wakufungua salon 5M 😁😁😁 hayo maswala yntukataga stimu ila basi tu
 
Utasikia tu kbl hata ujaweka et ni promise kwanza kma utanipa mtaji wakufungua salon 5M 😁😁😁 hayo maswala yntukataga stimu ila basi tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚usikute ni nyie huwa mnawauliza "baby nikufanyie nini" sasa kwanini asijimalize
 
Ila we mwamba kwa chai [emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii chai kabisa mkuu
 
Kwani ushachapwa na wanaume wote mwanangu?
 
Mnaweza itwa ghafla kwenye vikoba. Wengi wenu ni vijumbe.
 
Zemanda muongo sana huyu jamaa πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…