Wanaume, huwa mnaharakia nini?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,177
No reforms, no election.

Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?

Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini?

Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti?

Wanaume wenye hii tabia mbadilike mnatutoa kwenye mood🥲
 
Sawa ujumbe umefika
 
Pole mamii, hebu njoo kwangu nikuandae kabla hata haujatoka kwenu uwe "umeshalowa" kabisaa


Hao vijana umewakuza kwa kuwaita "wanaume"

WANAUME TUPO ILA BADO HAUJATUFIKIA hao unaokutananao ni wavulana.

Your are welcome my dear waifu material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…