Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,942
- 105,398
Nilishtuka kidogo.Nilidhani katoa tigo.😂😂😂😂Habari waungwana
Huvi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14
Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi!!. Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELI!!
Sasa kama akikuacha itakuwaje!!??
Si ndo mwanzo wa kujiua huo!??
Duuh!!! Kweli kazi!View attachment 2386804
Anampiga show demu pumzi kisoda ana kufa,kwishneiHabari waungwana.
Hivi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14? Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru Mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi?! Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELIm?!
Sasa kama akikuacha itakuwaje!? Si ndiyo mwanzo wa kujiua huo?
Duuh! Kweli kazi!View attachment 2386804
Ni wewe hujaelewa mm nimemuelewaUnataka kusema hii ni ad?
Inaweza kuwa ad ya iphone hiiNi wewe hujaelewa mm nimemuelewa
Inaweza kuwa ad ya iphone hii
😂 Atauza maini.Alafu anatumia wiki inaibiwa.
wakakate bima ya hiyo simu🤣
Bora ata angeenda kukata vidole zimbabweHivi ukitoa Figo si Hata nguvu Ya kuPiga Show ya kibabe ina Pungua..