Unataka kusema hii ni ad?marketing team ya iPhone how they do it aisee nataka power kama hizo kutengeneza bucks ... hii psychology waliowateka customers wao ni kali sana
Ilikuwa Nigeria nafikiriHao ndo wanaume wa daslam
Unataka kusema hii ni ad?
Nilijuwa tu huyu atakuwa ngozi nyeusi time,uwez kuta ngoz nyeupe na utahira huuHabari waungwana
Huvi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14
Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi!!. Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELI!!
Sasa kama akikuacha itakuwaje!!??
Si ndo mwanzo wa kujiua huo!??
Duuh!!! Kweli kazi!View attachment 2386804
Kumbuka huyo kamnunulia dem....Haihusiani na Iphone, Dem angetaka Samsung S22 jamaa angetoa figo tu.No, yaani power ya kufanya mtu auze figo anunue bidhaa kwenu
Sasa nasema huo ushawishi uliotumika mpaka dem akataka iphone na sio Samsung na ma slay queens wote huku in general kuangaika na iphoneKumbuka huyo kamnunulia dem....Haihusiani na Iphone, Dem angetaka Samsung S22 jamaa angetoa figo tu.
Aaaah hapo sawa....ila hiyo haijahusiana sasa na jamaa kutoa figo, dem angekuwa ana obsession na ist au vitz jamaa angetoa tu figo.Sasa nasema huo ushawishi uliotumika mpaka dem akataka iphone na sio Samsung na ma slay queens wote huku in general kuangaika na iphone
Fake newsHabari waungwana
Huvi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14
Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi!!. Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELI!!
Sasa kama akikuacha itakuwaje!!??
Si ndo mwanzo wa kujiua huo!??
Duuh!!! Kweli kazi!View attachment 2386804
Tatizo ni kuwa kila mtu siku hizi ana access na Internet. Na kuna kundi kubwa la watu hawajui waamini na wapuuze nini wanachokutana nacho kwenye mitandao. Mtu kama wewe tunaweza kukusamehe kwani ni wale waokoteza habari na source yenu ni kwa akina Ayo na the likes.Habari waungwana
Huvi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14
Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi!!. Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELI!!
Sasa kama akikuacha itakuwaje!!??
Si ndo mwanzo wa kujiua huo!??
Duuh!!! Kweli kazi!View attachment 2386804
Figo ya pili then atakufa end of the storyHiyo simu tsh ngp. Mwakani si watatoa iPhone 15 sa atatoa nini?