Wanaume hii kitu ni sawa?

Sometimes unaweza kukuta wanabet na kufatilia live score pamoja yaani hapo hata saa saba usiku watafika. Wengine ni addicted kwenye magame so huenda wanacheza games pamoja.

Mimi Nina miaka 35 lakini siku za weekend nashinda home tu na madogo wa 30-23 yrs toka SAA tatu mpaka SAA tano tunalinda mikeka.

Au huenda wanafuatilia season pamoja ambayo hawataki kumiss vipande, si mnajua season ukiifuatilia unakua na alosto!

Huo upuuzi mnaowawazia uondoeni vichwani mwenu.
Yah itakuwa movies, maana ukiwa na familia unakuta huwezi tazamavitu unavyopenda. Mimi mfano napenda crimes and investigation toka nimeanza kuishi na familia sitazamitena maana wao hawapendi wanapenda mitamthilia sijui gangaa. Ningekuwa mtu ambaye napenda kwenda kwa watu basi ningekuwa naenda kwa mshikaji check series, lakini mimi si mtu wa hiivyo.
 
Tukiwa wadogo tulikua tunaambiwa tusicheze na watoto ..tukae na wakubwa zetu kidogo ...na hao wakubwa zetu wamekatazwa kukaa na watoto ambao ndo sisi sasa basi ni tafrani tupu.... Sometime inatokea ni vibe tu mnaelewana mnamatch vitu kadhaa nishakaa na watu sikujua umri wao kwangu ni wadogo sana nilijua badae lkn kwa kipindi tumekaa wote sikuwahi ona tatizo
 
Kakua miaka tu huyo ila akili bado ya kitoto. Kufuatana fuatana kama hakuna la ziada basi ni utoto.
 
Mumeo anamtumia huyo kijana kama kuwadi wake kutafuta michepuko.

Itakuwa huna nyama ya ulimi, na siyo mtundu kwa bed ndiyo maana mumeo anadanga.
 
Acheni fikra potofu Urafiki hauna kiwango cha umri haswa kuanzia 18 above. Kuna umri wanaume hua mnakua sawa kwa sababu mnafanan majukumu hivyo kufanana pia mitazamo,maadili nk.ata akiwa umri kama wa baba bado sio tatizo ilimradi kira mtu anaheshimu urafiki wetu.
 
Huwa inatokea. Sometimes unakuta kijana yupo matured kiasi kwamba amekutana na huyo brother sasa wamekuwa match kiakili dogo anamtumia huyo brother kama mentor wake na brother anamuona huyo dogo kama protégé wake....

So sioni cha ajabu. Watu wanakuzwa malezi tofauti kuna ambao makuzi yao yanawafanya wanaexperience mambo makubwa sana na majukumu kiasi kwamba akikaa na rika lake wanakuwa wanamfanya anajihisi yupo na watu wasio level yake ya upeo wa kufikiria.

So nothing wrong.
Absolutely
Nimeipenda hii!
 
A mentor and his protégé don't spend all time together
There is something fishy
 
Huwa inatokea. Sometimes unakuta kijana yupo matured kiasi kwamba amekutana na huyo brother sasa wamekuwa match kiakili dogo anamtumia huyo brother kama mentor wake na brother anamuona huyo dogo kama protégé wake....

So sioni cha ajabu. Watu wanakuzwa malezi tofauti kuna ambao makuzi yao yanawafanya wanaexperience mambo makubwa sana na majukumu kiasi kwamba akikaa na rika lake wanakuwa wanamfanya anajihisi yupo na watu wasio level yake ya upeo wa kufikiria.

So nothing wrong.
Positive thinking.
 
Hata kama ni wa umri sawa na wake, ukishaoa kuna muda wa familia na muda wa marafiki.

Unless ni business partner ndo muda mwingi kama huo wanaweza kuwa pamoja kibiashara au kikazi. Siyo kwa story kila siku hapana.
 
Yaani hiyo ni kawaida sana kuoa kwa mtu hakumzuii kujenga urafiki na vijana wadogo kuna vitu watakuwa wanamatch ondoa mawazo mgando
 
Mumeo anamtumia huyo kijana kama kuwadi wake kutafuta michepuko.

Itakuwa huna nyama ya ulimi, na siyo mtundu kwa bed ndiyo maana mumeo anadanga.
Hii ni pointi tena kubwa maana na mimi kuna brother jamaa yangu huwa namfanyia mitikasi kwa wingi tu na yote inasababishwa na mkewe kunyimana nyimana sio dili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom