Wanaume! Hii imekaaje mbele ya mpenzi wako?

Wanaume! Hii imekaaje mbele ya mpenzi wako?

Kulia ni njia mojawapo ya ku express hisia zetu kutokana na jambo fulani, laweza kuwa la uzuni au furaha.

Hili jambo limekuwa tofauti kidogo kwa baadhi ya wanaume katika jamii yetu, kwani husisitiziwa kuto lia ovyo, kuwa imara, mbabe, mstahimilifu, thabiti, huru na hatakiwi kuonesha emotions zake, na ndio maana ukikuta mwanaume analia utasikia akibembelezwa kwa kuambiwa ''acha kulia kama mwanamke, wewe ni mwanaume kaza moyo''

napia inasemekana kulia husaidia kuondoa chemical zinazosababishwa na msongo wa mawazo na hivyo hukupa ahueni. So kama unajickia kulia we lia as much as u can ili kuondoa hiyo sumu
sawa!
 
huwa unaweza muonaga akiwa 6*6... Lol!
Uswahilini mambo ya kujua mtu anafanya nini ni ya kawaida na huko ndio huwa kuna chabo za kufa mtu,ulikwishakaa nyumba ambayo haina ceiling board?Ha ha ha inaonekana bado Lady doctor
 
aaah....wanalia sana......huwa tunaona ni maf a l a tu.........

Mara nyingine kulia inakuw ni gia fulani, anaweza kulia kuonyesha wakati haupo alikumisi sana kumbe usiku wa jana yake alikuwa na goma jingine, na mara nyingi watu wakiona chozi wanaamini kwamba yanayosemwa yanatoka moyoni. CHUKUA HATUA!!!!!!
 
halafu wewe......mbona sikuonagi siku hizi.........?

aisee kijiweni kimebana kweli kweli,...si unajua mvua tena_wateja wengi wankuja mara viatu vimekatika mara vimejaa matope,...ila ntajitaahidi bhana.
 
Kuna kulia kwa aina mbili... kuna ile ya ukweli na ya kuzuga tuu na aina zote izo machozi yanatoka na mwanamke hawezi kugundua.. ukimuona mwanaume analia mbele ya watu ujue icho kilio ni siriazi... ila kama mwanaume analie mbele ya mpenzi wake tuu tena chumbani tuu huyo ni mnafika, analia labda kuna kosa kafanya anataka umsamee au anaomba mzigo... Mimi mschana wangu akinikuta na kosa kubwa nazuga nalia na nnasamehewa kwa moyo mmoja.. ila nsipolia iyo kesi haitaisha milele.. Kutoa machozi ni usanii tuu unaweza uka-assume kwenu kuna msiba na ukalia..
Mwanaume analia kwa advantage bana..... (iyo nimeongea kwa upande wa mapenzi ila kilio anacholia mwizi wakati wa kupigwa ni cha kweli kile,acha alie tuu)

Apo kwa mwiz khahahahahaha hahahaha nimecheka balaaa akat leo nliingia ofsin nimenuna
 
Back
Top Bottom