Mie nilijua mnafurahia, na kuona kwamba wanawajali?aaah....wanalia sana......huwa tunaona ni maf a l a tu.........
Utasababisha watu wakilia wasipewe msamaha.Kuna kulia kwa aina mbili... kuna ile ya ukweli na ya kuzuga tuu na aina zote izo machozi yanatoka na mwanamke hawezi kugundua.. ukimuona mwanaume analia mbele ya watu ujue icho kilio ni siriazi... ila kama mwanaume analie mbele ya mpenzi wake tuu tena chumbani tuu huyo ni mnafika, analia labda kuna kosa kafanya anataka umsamee au anaomba mzigo... Mimi mschana wangu akinikuta na kosa kubwa nazuga nalia na nnasamehewa kwa moyo mmoja.. ila nsipolia iyo kesi haitaisha milele.. Kutoa machozi ni usanii tuu unaweza uka-assume kwenu kuna msiba na ukalia..
Mwanaume analia kwa advantage bana..... (iyo nimeongea kwa upande wa mapenzi ila kilio anacholia mwizi wakati wa kupigwa ni cha kweli kile,acha alie tuu)
Kuna kulia kwa aina mbili... kuna ile ya ukweli na ya kuzuga tuu na aina zote izo machozi yanatoka na mwanamke hawezi kugundua.. ukimuona mwanaume analia mbele ya watu ujue icho kilio ni siriazi... ila kama mwanaume analie mbele ya mpenzi wake tuu tena chumbani tuu huyo ni mnafika, analia labda kuna kosa kafanya anataka umsamee au anaomba mzigo... Mimi mschana wangu akinikuta na kosa kubwa nazuga nalia na nnasamehewa kwa moyo mmoja.. ila nsipolia iyo kesi haitaisha milele.. Kutoa machozi ni usanii tuu unaweza uka-assume kwenu kuna msiba na ukalia..
Mwanaume analia kwa advantage bana..... (iyo nimeongea kwa upande wa mapenzi ila kilio anacholia mwizi wakati wa kupigwa ni cha kweli kile,acha alie tuu)
aaah....wanalia sana......huwa tunaona ni maf a l a tu.........
ahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa_wengine sura zetu za kokoto muda wote,..hata ukilia mtu hawezi jua licha ya machozi kutotoka.
aaah....wanalia sana......huwa tunaona ni maf a l a tu.........
Suala hili hutegemea mtu na mtu,kuna rafiki yangu mmoja akiwa kunako sita na mkewe yeye ndio hulia tena mpaka machozi yanamtoka akiwa anapanda mbegu shambani,jambo hili lilikuwa linanishangaza sana na nilipomuuliza huwa inakuaje analia,alinijibu kuwa hata yeye hajui kwanini analia ila ni utamu tu.
Kuna wengine hata limkute jambo gani huwezi ona chozi lake na macho huwa makavu tu.
Acha ugomvi bana, Nitalia sasa hivi!!!
Hujawahi kaa nyumba za uswahilini ndio maana unashangaa haya Lady doctorhuwa unaweza muonaga akiwa 6*6... Lol!