Nimeingia kwenye daladala siti ya wawili mwanaume kajitanuaa mguu mmoja huku mwingine kule ndo tabia gani?? Halafu asilimia kubwa ndio ukaaji wenu na mbaya zaidi mnapanua miguu huku mnatikisa tikisa yani inakeraa.
Hivi huwa mkibana miguu mnaumiaga au? Au joto linawaunguza. Muwe mnafikiria wenzenu wa pembeni hasa kwenye usafiri wa Uma.