Dawa ya mwanamke muongeaji ni ndogo sana.we akiongea fungulia tv au radio mpaka mwisho halafu unamwacha hapo.
Dawa ya mwanamke muongeaji ni ndogo sana.we akiongea fungulia tv au radio mpaka mwisho halafu unamwacha hapo.
Kama hamna?
Hahahahahahahahaha....anaweza kushindana na redio huyo aiseee
Unavyogeneralize mambo ni vizuri ukawa una reserve some percentages za wrong perception zako hasa ukizingatia unaongeleaa behavioral change!
Unasema wanaume usipoweka hata geographical location unakuwa unamaanisha dunia nzima kwahiyo kuna vitu vingi haujazongatia wakati unapost hii kitu Mkuu.
View attachment 305349
Ukiachilia mbali uzuri wa mtu, tabia yake, utanashati na mengine mengi, kila mwanaume ana ladha anayoitafuta kwa mwanamke anayemtaka. Hii inatofautiana kati ya mtu na mtu, siwezi kuongelea nini mwanaume anatafuta kwa mwanamke, ila najua kuna aina Fulani za wanawake wanaume wengi hawapendi kuwa nao.
Waongeaji Sana
Wanawake wa maneno mengi, wanaume hawapendi mwanamke mropokaji. Wanawake wa aina hii huwa hawajui nini waongee na nini wasiongee au wakati gani wa kuongea na wakati gani wa kunyamaza. Watu wa aina hii hawajui kuuliza, wao wanafoka tu mwanzo mwisho.
Tumekuelewa Mama la MamaaSasa jamani na nyie muwe mnajitahidi kutokutuudhi kwa makusudi basi jamani! Khaa!