Wanaume hawajui mapenzi

Wanaume hawajui mapenzi

Kwani Mods huwa wanatumia utaratibu gani kufuta Nyuzi!?????? [emoji33][emoji33]
 
povu hapa na wewe utakua ndio hao hao tu..

Kubali kujishusha ujifunze
Povu linakuhusu maana hapa umetoa hints
wala hukutoa ufafanuzi wa hayo unayoyasema.
pia utofautishe mapenzi na biashara,
pesa upewe na hapo hapo utake kufika?
kama unataka kufikishwa,ukiona kafika
mlipe pesa ili akufikishe.
 
Back
Top Bottom