Wanaume hawachuniki siku hizi

Yani we ukinihitaji sina uchoyo ina ukihitaji pesa yangu hapo nakuwa mchoyo..... sio wewe unakuwa mchoyo wa vyote..

Hahahaha jamani babu mie nilikuwa nahitaji mtaji kwenye hizo hela zako za kiinua mgongo jamani
 
Jamani msinikumbushe! Nilishawahi chunwa laki moja na ishirin na papuchi sikupewa. Kanibana ana shida ya laki sita, nikamweka black list. Kashtukia ishu, katumia namba nyingine. Kwa hasira nikabadilisha namba, tumepotezana takriban mwaka sasa.

Huyo jamaa hapo juu kaniongezea maujanja
 
Sio kwamba hatuchuniki isipokuwa bidhaa zenu zimeshuka sana bei.....kwani sokoni mpo wengi mno.....
 

Teh teh pole mkuu!
Mjini pesa mipango peleka chuoni! Hiyo inaitwa kaseme tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…