Jamii yenye wanawake 3000 na wanaume 7 tu huko Amazon. Tunakoelekea mtatulilia sana

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Jamii hii inapatikana huko Amazon Marekani ambapo wanaume 7 tu wamegeuzwa tegemezi la wanawake zaidi ya 3000. Hii ni kutokana na uchache wa wanaume uliopo. Kutokana na shughuli pevu na nzito waliyokuwa wanapitia makumi ya wanaume waliokuwepo kipindi cha nyuma, waliamua kukimbia jukumu la haki ya ndoa pasi na mapumziko, hivyo kuwaacha wanaume 7 tu ambao mmoja wao ana 13 yrs, mwingine tayari keshakuwa mzee sana. Hao wengine watano wana umri kati ya 13 yrs na 31 yrs

Wanaume hawa hawafanyi kazi za kijamii, hawalishi familia. Bali wao ndio hulishwa. Kazi yao kubwa ni kusasambua mbususu tu, usiku na mchana huku waki-shift kutoka nyumba moja ya mwanamke kwenda nyingine

Unaambiwa wanagombaniwa kama nini. Ili mwanamke apate chance ya kutafunwa, itabidi amvizie jamaa kwenye njia za porini kisha amvike kidani kwa nguvu ili tu kukamilisha sheria inayosema ukikutana na mwanaume tayari keshavikwa kidani, itakubidi ukae kwa kutulia huku ukisubiria mwenzio amalizwe kuchakatwa

Unaambiwa tena, kuridhishwa kwenye tendo ndo hakuna kabisa. Tendo hilo limegeuzwa lengo la kuongeza viumbe tu, labda kwa baadhi ya wanawake wenye hamu ya kuchachua

___________________

Enyi wanawake, endeleeni kuturingia na kututesa, lakini tambueni kuwa siku zaja ambazo idadi ya wanaume Africa, hasahasa Tanzania itapungua kwa kiwango chake. Nanyi mtabaki mkitulilia walau mtazame kichwa tu cha Athumani ili mridhike

Inafurahisha sana. Natamani hata ningekuwa na miaka chini ya 45 ili nije kuvunja mifupa ilihali kijana. Sema ndo hivyo umri ushakwenda
 
Hapo umetaja jamii usitoe kama sababu kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume

Watu wengi wanaamini wanawake ni wengi kuliko wanaume ila kwa twakwimu za dunia
Wanaume wako wengi kuliko wanawake isipokuwa mgawanyiko wake ndo unafanya kuna mahali utaona wanawake.
 
amazon ni marekani,?

msitu wa amazon upo america ya kusini ndo kuna jamii za ajabu ajabu huko, kuna wengine hata hawajui shule ni nn?
 
Comments zinafurahisha wakuu hivi kuna tofaut gan kat ya marekani na america ni kuuliza tu
 

Nasikia harufu ya Mwanaume inayomtaka mwanamke awe chombo rahisi...
 
Hapo umetaja jamii usitoe kama sababu kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume

Watu wengi wanaamini wanawake ni wengi kuliko wanaume ila kwa twakwimu za dunia
Wanaume wako wengi kuliko wanawake isipokuwa mgawanyiko wake ndo unafanya kuna mahali utaona wanawake.
Hizo ni takwimu za 2021. Kwa sasa wanawake ni wengi kwa 56% kulinganisha na wanaume 44%
 
Back
Top Bottom