Wanaume Hatuchepuki kwa Mapenzi yetu!

Wanaume Hatuchepuki kwa Mapenzi yetu!

Nina wawili Hapa wanasubiri mpaka nianze kuwatumia msg ndo wajibuu... Nadhani hawana siku nyingii.. Wanawakee ni wengii sanaaa aiseee...
yaani mimi hilo ndio huwa siwezi
kumtafuta MTU asiyetaka kunitafuta !!!
huwa nafanya Mara 2 tu nikiona unareply shortly nafuta namba mamaeeee sitaki stress Mimi niwaze mahela niwaze mwanamke kichwa chenyew hikihiki kimoja ??
 
Back
Top Bottom