Wanaume Hatuchepuki kwa Mapenzi yetu!

Wanaume Hatuchepuki kwa Mapenzi yetu!

Mimi mtoa mada nahisi anatafta huruma apewe go ahead, aliwah kusema ana mwanamke mashaallah na hafikirii kumuacha leo kumbe ana mchepuko sasa, akaja na thread kua ameibiwa hela na amekosa mapenzi na girlfriend wake anataka kumuacha, simwamini na story zake
 
Haya Maisha yana kila aina ya vituko!, Naanza kuungana na wanaume wenzangu kwamba kuchepuka ni njia sahihi ya ku reveal stress zetu!

Nina Wapenzi wangu wawili ambao nmekuwa nao kwa zaidi ya Miaka miwili...Naona wameanza kunizingua sijui ndo kunichoka!

Mmoja jana anakuja ananiambia kuna kaka mmoja wa studio akienda kupiga picha anampiga Bure na anamwekea picha kwenye frame free of charge!, Nikamuuliza vipi wewe unaona hiyo hali ni sawa au unawaza nini kuhusu mtu kukufanyia bure tena kwenye biashara? Bila Haya ananiambia eti si ROHO NZURI TU JAMANI, nilicheka kwa dharau ase...mademu wemgine reasoning zero! nikampotezea waendelee kupigana picha tu!

sasa mwingine leo nae nawasiliana nae tuonane ananiambia eti hawezi kuja, nikam maindi akapoa kidogo mara anaanza kutoa excuse ooh kila siku mimi napanda dau, nimejaribu kumuweka sawa ila naona hakuna kinachoeleweka nimeamua kuacha kujibu text zake! Alale tu salama tusikerane!

sasa hapa kuna binti ananisumbuaga kinoma na sahivi tu kanitext messenger na ana mvuto mzuri tu, je sasa kwa hii hali ambayo unakuta mwanamke unaemtegemea anakuzingua je utaacha kuchepuka kweli? Absolutely No!

Ndugu zangu Wanaume Hakuna cha ku please sana kwa Wanawake, wewe pale unapoona unaweza ku reveal stress just reveal your stress, kwa maana unaeza kuja piga mtoto wa watu kwa hasira ukaishia jela....piga zako kimya nenda na anayekuelewa kwa wasaa huo!

Hakuna Namna tuchepuke tu! ya nini stress bwana? Finaly unaeza shindwa kufanya mambo yako vizuri uki concetrate sana na Hawa Viumbe!

One Love!

Hakuna namna n kuchepuka tu
 
Mimi mtoa mada nahisi anatafta huruma apewe go ahead, aliwah kusema ana mwanamke mashaallah na hafikirii kumuacha leo kumbe ana mchepuko sasa, akaja na thread kua ameibiwa hela na amekosa mapenzi na girlfriend wake anataka kumuacha, simwamini na story zake
Bahati Nzuri Sina Bla Bla na sipo kumuaminisha mtu! au Kumbadili mtu!
 
Nyie chepukeni tu,wake zenu nao wana vichenchede vyao huko vinawakaza vizuri, msije kumlaumu mtu
 
Nina wawili Hapa wanasubiri mpaka nianze kuwatumia msg ndo wajibuu... Nadhani hawana siku nyingii.. Wanawakee ni wengii sanaaa aiseee...
 
Mkuu hawa viumbe ukiwa mwaminifu ndiyo wanakuchukulia fala,ila ukiwa eat and run wanakuona mjanja na watakupenda kila mmoja kivyake,maana kunakuwa na upinzani wa wao kwa wao
 
hahaahaaaaa daaahhh humu ndani ni medicine tosha kwaajili ya stress
kwanza mimi hizo mambo zakubembelezana huwa siziwezi aisee
ukinizungua nafuta namba faster then mikaushi mikali
ila tukionana naongea nawewe vizuri tu kama vile sina kinyongo ukikausha namimi nakausha ukishoboka nakushobokea kama kawa
ukijiskia kuleta papuchi leta ukimind poa siilipii vat mimi
 
Back
Top Bottom