Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
-Mwanaume halisi dudu linasimama fasta, sio mpaka lipigwe jeki, akiona juu goti tu tayari, mnara unasoma
-mwanaume wa kweli ana mwili mgumu, sio legelege kama demu.
-mwanaume halisi anapambana na hali yake bila kukata tamaa, mpaka kieleweke
-mwanaume halisi haongei ovyo ovyo kama demu, muda mwingi ameuchuna anasikiliza au anatafakari maisha yake.
-mwanaume halisi ni baba, na ni kiongozi wa familia yake, anaetekeleza majukumu ya kuhudumia familia yake kila kitu.
-mwanaume halisi anamheshimu na kumpenda mke/mwanamke wake kuliko wengine wote!
Mwanaume halisi anazama chumvini
ana mtarimbo wa ukwel wa kumridhisha mwanamke sio kibamia.
anaweza ku handle familia yake kifedha na nidhamu ktk familia.
anayetoa pesa kwa kufikiri sio kugawa kwa mwanamke kama njugu.
anayependa mwanamke ajishughulishe sio akae nyumban kama house girl et kisa wivu.
Hata huyo mwanamke hakuna anayekaa masaa mawili bafuni, Tatizo ni kwamba
kuna wanaume ni Wachafu hivyo anatumia kisingizio cha uanaume kuwa me
hatakiwi kupendeza au hata kupaka Losheni huo ni uchafu tu Bro.
Kupenda Taarabu bado si Tatizo kwani huo ni Muziki wa mwambao sasa kama ni asili
yake unataka iweje? Mimi sipendi kabisa Muziki unanichukuliaje?
Hivi kuagiza Fanta Orange au Passion nako ni tatizo si kweli mkuu hayo ni mapenzi
binafsi ya watu katika ulaji labda ungesema Udongo maana sijaona me anakula udongo.
hongera kwa kuongeza siku zako za kuishi umenichekesha sana
Habarini wadau
Mwanaume anayejitambua hayafanyi haya yafuatayo:-
-Kwanza hatumii maneno haya Mie, Aibu naona mimi, Nimekumisije, haloo, jamani, Inahuu, Chezea...na mengine ya hivyo
-Hafurahii kuongwa au kulishwa na mwanamke
-hakai masaa mawili bafuni na wala hajipodoi kama wakike
- Hapendi taarabu kuliko aina zingine za musics
-Hawezi kusema chakula anachopenda zaidi ni Chips mayai,Chips kuku, na kupenda vichokolate na Vannila.Na hawezi kuagiza fanta orange au passion mbele ya wanawake,bora aagize maji kama sii mlevi
-Hata siku moja hawezi kusema neno "Nimeshindwa" na badala yake anasema"Nitalishuhulikia hili" especcially kwa mwanamke
-Hagombani na mke kwa kupigana naye au kurushiana maneno (ni aibu)
-Anachukia kutoka rohoni Ushoga na hawezi kuwa karibu na shoga.
Ongezea lingine japo moja....