Wanaume ficha zao siri moyoni

Wanaume ficha zao siri moyoni

Mkuu, ebu mtafute member mmoja humu ndani ana ID ya Nyeusi Chai/ Ukiibadili hapo mwisho kwa lugha ya bepari utapata maana yake, alafu chukua herufi ya kwanza kwenye sentesi ya pili na kisha unganisha mbele kwenye sentesi ya mwanzo.
Huyu jamaa nasikia anaukwasi wa kutosha, atakusimulia alicho mfanyia Dada Jenifa mmoja wa humu ndani wallah...
unanitafutia balaa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Experience yako ni nouma mkuu sio kwa list hiyo ya midume na tabia zao hapo sasa subiri bado aina nyingine nyingi maana huko kote mie nimetoka na mbinu mpya hujaiweka ili uongeze ujuzi zaidi CHEZEA VYOTE ILA SIO MWANAUMEEEE
Mbinu yako mpya naijua nikuahidi hadi wazazi wamsichana unakuja home halafu unasingizia usafiri ulikosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, na mimi sirudi kamwe,sio kwa sababu nina tabia mbaya,ila kwa sababu za tabia zako za kishenzi!!!
Mwanamke wakati wote gubu, kila kitu unataka wewe ndo u-control,marafiki zako ni wanaume tu,na muda mwingi unatumiana nao picha picha,mara wamekuita majina yanayoashiria mahusiano kabisaaa,nakuuliza unadai "they are my friends" hata kama nimekuzalisha, sibaki hapo,naondokaa na nimeshaondoka!

Usipoangalia unazalishwa mtoto wa tatu, shauri yako!!!
Wasalimie sana hapo NJIRO ARUSHA!
pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooooohooo!!
kazuri kwa muonekano,kanaonekana kacheshi!
Nikajitutumua kidume,nisijiulize kwanini jamaa aliyemzalisha mtoto wa kwanza alitimua mbio na kwenda kuoa kijijini!
Nilichokutana nacho nakijua mwenyewe!
Katoto kazuri badilika my dear,ukibadilika kabisa kabisa nitarudi kwa moyo mweupeee,lakini ukiendelea hivyo hivyo hakika lazima uongezwe mtoto wa tatu na utakimbiwa tena!!hahahaaaa!
Watoto mmh! Hadi raha nimekuelewa yani wewe ni mtoto wangu wanne okey sio mbaya unapenda jina gani nikuite kasumbufu zoba au lofa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukasingizia katoto ka watu ndio kwanza kapo chuo,
Hakana mtoto hata mmoja.
Tena katulivu muda wote kanawaza masomo tu ila ni kacheshi, kastaarabu, kapole, kanajiheshimu halafu pia ni mchamungu.

Maendeleo hayana chama
Ukipondea watu always kuna wengine wanaheshimu watu asante mwaya best i am count on you every day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, ebu mtafute member mmoja humu ndani ana ID ya Nyeusi Chai/ Ukiibadili hapo mwisho kwa lugha ya bepari utapata maana yake, alafu chukua herufi ya kwanza kwenye sentesi ya pili na kisha unganisha mbele kwenye sentesi ya mwanzo.
Huyu jamaa nasikia anaukwasi wa kutosha, atakusimulia alicho mfanyia Dada Jenifa mmoja wa humu ndani wallah...tehteehh
 
Hakika hujamjua vizuri katoto kazuri,amekudanganya yupo vhuo wakati analea tutoto tuwili, anapenda mgegedo hatari!
Mbaya zaidi ni kwamba anapenda kuolewa ila hawezi kube-have kama mke!
Wewe mtu toa proof nitaacha hata utani sasa ujutie kunifahamu .
Maana nikichoka utani huwa nafumuka na hasira za simba .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mambo zenu.
Wanaume sio wakweli kwa asilimka 99 kwani wao huwa na siri moyoni kabisa .
Na hata umdadisi ni ngumu kujua anakuonaje .
Hii nimesema hivyo kwa sababu imetokea mahali pengi na wasichana wanaachwa solemba huku wako na mawazo debe.
Type za wanaume wapoteza muda
PRETENDERS
Wanaume wa sampuli hizi wao huwabembeleza mademu zao kuwadanganya kwa kila mmoja atawaowa so asilimia kubwa wanajiachia nalujisahau hapo hakuna kitu anaamini ataolewa na J wake kumbe mtu mpitaji tu ila kakaa design ya mwanaume mwenye malengo na hao mademu kumbe anwatumia wengine hadi wanawatoto na hao wanaume.
Unakuta hao wanaume wanawaita mademu zao my wife na wife to be nawao katika kuitwa hivyo na mesage za mapenzi na muamala kidogo basi halali unakuta mwanamke ka msave my husband kutwa kwa waganga ili aolewe.
FAKERS
Wanaume wasampuli hizi wao huwa wanajali sana mademu sehemu nzuri hupeleka mtu wake wao masaa yote yupo ready kujitoa mwanga kwa hao mademu zao jamani .
Na hao wanaume wanawapeleka hao mademu home kwao watambulike kuwa atamwoa na anawatambulisha kila mahali ili ajenge uwaminifu.
Kila saa anakujulia hali anakutoa lunch amd dinner na ukipata shida yupo hapo kumbe yeye kaona kitu kwako ndo anakivut akipate na akikipata anasepa humuoni.
Nahao wanaume wanafanya research ya hao wanawake na kuanza kumfukuzia.
Unakuta mademu wengine wanahela so wakibembelezwa tu na matunzo ya vimwezi huyo anamtambulisha kwao na wazazi huanza kumuhudumia huyo mwanaume wakijua ni mkwe kijana akijiweka sawa huyo anasepa humuoni.
Hata ukieenda kwao wanasababu na ukiuliza marafiki ndio zerooo.
Hutompata kila mtu anachakujibu.
Nahumuoni tena na hujui labda kakuachia mimba au nini.

BABES BABES
Hawa sanpuli zao huwa ni starehe tu nakula chakula yako kila siku hakuambi vitu vinavyojenga nivinavyobomoa.
Utasikia babes njoo hapa kariakoo unaenda anakununuli nguo na kukupa mlo fresh huko mbezi au kunduchi kwenye hoteli nzuri au mgahawa mkitoka lazima mpitie guest anakutumia ili afidie vitu ulivyospend kwa hela zake.
Sasa unakuta wewe umemuweka eti ndio the man of your dreams kumbe ni mwanaume ambaye hupenda raha sana anakula good time huyu yeye haondoki bila kuruka ukuta nakukufumua.
Anakuambia babes please leo tu naomba anakubembeleza mara mbili hivi unatoa anakufumua mavi balaa .
Halafu ndio unanogewa inakuwa kamchezo kenu kachafu ila ikishazeeka yeye husepa na hutomsikia tena ukiwa umechakaa.
Ila hao mababes unashangaa anakudekezea nakukubembeleza mpaka unajikuta umefanya vitu mpaka shetani anashangaa.

KUNA HAWA WANAITWA SHAPU BOYS
Hawa hata uwe beyonce anakupata kukula anakukula sana tu.
Nayeye ni faster mara moja chapu harudii ila huo mziki wake utakumbuka na ukimtafuta mkewe anapokea simu na hauna jinsi.
Anaweza hata guest ukajikut unalipa na hajakupa chochote chake umeshavua pichu uko yes no yes no na bili zote umelipa ila akiwa anakuhitaji kama alidata humkatalii hata kama alikuuzi .

KUNA HAO WANAJISHAUA ILA NO MONEY
Hawa sasa wanakuwa kwa uongo wao na kwa kugongea nguo za wenzake na magari huwa anaweza kuwala mademu wakali kisa akili yake baadae ndio unajua hata boxer uliomvua huo usiku aliazima kwa juma upo ila mzigo kala kakudanganya anafanya kazi ulaya yeye anaishi mbezi na pia hajui shida kwa sababu babu yake au baba yake alikuwa waziri mkuu na mambo mengi..
So unamkubalia unajikuta anajilia kirahisi mzigo kuliko huyo unayemringia mwenys maana.
Naanajua kukuza fresh atakupeleka kwa best zake utakula mtakunywa na mtaenda masaki au mbezi kwenyw bonge la nyumba kumbe sio yake .
Ni ili wewe uamini usiku unaota kumbe wewe umedanganywa umepakwa mavi ukizani gold.
Hao ni baadhi ya wananaume unaozani mnaofuture nao.
Kama mnabisha shauri yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo kwenye hiyo 1%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom