Oa kijana hiyo mambo itaishaWakuu...
Hii mambo ya wet dream kuota mfululilizo siku mbili ni kawaida?
Tena ni wakati wa mchana, ukijilaza kidogo tu hata saa 1 tayari...
Kabla ya hapohapo ilikuwa ni maramoja moja tu...
Wanaume hii ni kawaida au jini mahaba yuko kwenye 1 na 2...?
Wewe ukishikwa unafanya mazoezi? 😹Fanya mazoezi
Bora akaogelee tu.Wewe ukishikwa unafanya mazoezi? 😹
Akiomba utamsaidia😀Wewe ukishikwa unafanya mazoezi? 😹
Jirani 😹😹Bora akaogelee tu.
Mwenye uwezo wa kupokea maombi ni Mungu tu..!! 😹Akiomba utamsaidia😀
Hapo kwenye red una maanisha nini?Kama hujaoa, oa
Kama muda bado fanya mazoezi jioni. Pia jizoeshe kufunga kavu kavu.
Unaona sasaMwenye uwezo wa kupokea maombi ni Mungu tu..!! 😹
Wewe mbona hufanyi mazoezi unaenda kulumbua..!! 😹Unaona sasa
Kilichobaki afanye mazoezi