Wanaume embu nisaidini hili

Dada kuna tofauti kati ya mwanaume na mume, pia kuna tofauti kati ya mwanamke na Mke. Sasa we we ulipata mwanaume badala ya mume ndio maana hakuwa na busara. Hakufai, Lakini kwa upande wako nawe kama unamakosa jirekebishe.
 
Griiiii hapo bibie umepatikana yaani uwe hot zaid ya hapo ? hapana kule kapata aliyekuzid so anazuga tu ila toto lenye IQ kama hili unataka liwe hot kiaje tena wanaume mungu anatuona mjue tunawapa wakati mgum sana hawa wadada
 
sawa mkuu
 
huyo jamaa lazima atakuwa kamchoka na mara nyingi ukiona mwenza complaints haziishi ujue hapo keshakuchoka
 
Griiiii hapo bibie umepatikana yaani uwe hot zaid ya hapo ? hapana kule kapata aliyekuzid so anazuga tu ila toto lenye IQ kama hili unataka liwe hot kiaje tena wanaume mungu anatuona mjue tunawapa wakati mgum sana hawa wadada
sema ndiyo tunazidiana
 
Kiufup kama jamaa atakuwa ajajitambua unampenda kwa dhat au yeye bado ajajitambua
Mapenz nini

Japo unaumia jikaze
Ila mimi najua mwanaume huwa haachagi mwanamke kwa dizain hyoo huwa tunakausha ili ukibuba unarud taratbu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…