WANAUME EBU MKUJE HAPA TUJADILI KITU

WANAUME EBU MKUJE HAPA TUJADILI KITU

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
299
WANAUME HEBU AMKENI BHANA ACHA UKUKU KUSAHAU MUDA MFUPI

Mkeo anakuaga leo anakwenda saloon au kwenye kikao cha kina mama, anaoga anaingia chumbani anaanza kuvaa, anashika chupi ya kwanza anataka kuivaa anaiacha anachagua ya pili anaitazamaa anaiacha pia anaona ya tatu ndo inafaa kisha anavaa.

Wewe umelala tu kitandani unachat kwenye whatsapp hujiulizi swali "anachagua chupi nzuri ili nani akaione, kama kuna chupi mbaya kwenye list si azitupe anunue mpya".

Anakuaga anaondoka na wewe unamwambia poa mchana mwema wasalimie uko town, halafu ukiitwa fala unakuja juu eti "ooh mi mtoto wa mjini nimezaliwa ocean road".
Umekuwa kenge mtu anayeishi kando kando ya bahari kila siku eti nae anataka kuwa mamba? mweeeee..........kuwa makini
 
Kwa hiyo kuchagua chupi ni kosa........,?........
 
Hivi kwanini watu hua mnanunua chupi za rangi tofauti tofauti wakati hakuna anaeiona? Mi nikiona boxa nimezipenda hua nanunua dazeni nzima zote za rangi moja!
 
Sasa unataka umpangie mkeo hadi chupi ya kuvaa!
 
Kuna mengi ya kutafiti kujenga jamii na taifa zaidi ya hilo
 
Ngoja wenye wake wakuje!!.



Ni sawa na demu wako, anakutumia Picha tofauti. Akiwa vyumba au vitanda tofauti tofauti, tena akiwa nanguo za kimahaba tu .

Alafu mpuuzi wee unaanza sifia "oohooo baby you are so sexy ,wooooow mwanamke mtamu weee'


Badala ya kugeuza iyo picha kua kazi ya sanaa, na kuhoji ninani Alompiga picha dem wako??????.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom