WANAUME EBU MKUJE HAPA TUJADILI KITU

WANAUME EBU MKUJE HAPA TUJADILI KITU

WANAUME HEBU AMKENI BHANA ACHA UKUKU KUSAHAU MUDA MFUPI

Mkeo anakuaga leo anakwenda saloon au kwenye kikao cha kina mama, anaoga anaingia chumbani anaanza kuvaa, anashika chupi ya kwanza anataka kuivaa anaiacha anachagua ya pili anaitazamaa anaiacha pia anaona ya tatu ndo inafaa kisha anavaa.

Wewe umelala tu kitandani unachat kwenye whatsapp hujiulizi swali "anachagua chupi nzuri ili nani akaione, kama kuna chupi mbaya kwenye list si azitupe anunue mpya".

Anakuaga anaondoka na wewe unamwambia poa mchana mwema wasalimie uko town, halafu ukiitwa fala unakuja juu eti "ooh mi mtoto wa mjini nimezaliwa ocean road".
Umekuwa kenge mtu anayeishi kando kando ya bahari kila siku eti nae anataka kuwa mamba? mweeeee..........kuwa makini

Unaenda dukani unaona boksa za ukubwa na rangi tofauti tofauti unachagua unazopenda kisha unanunua pia hata wakati wa kuzivaa unachagua unayoona inakufaa kwasiku au wakati husika,vivyo hivyo katika nguo unavaa unayopenda kwa wakati huo.
Sasa mkeo asichague chupi kisa utahisi anaenda kupigwa,ina maana kipimo cha mke kutoka nje ya ndoa ni Uchaguzi wa chupi?
Vipi tabia na mienendo yake kabla ya ndoa yako na wewe?
Upi mtazamo kuhusu masuala ya urembo kwake?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikute ndo umetoka kwenye timbwili kuhusu mambo ya chupi miongoni mwa matukio ya kipuuzi unayomfanyia mkeo huenda jana mlizozana kuhusu njia anayotakiwa kupita anapokwenda kuteka maji í ½í¸í ½í¸í ½í¸ mkeo ana kazi sana.
 
Duh!

Kwahiyo mada ya leo ni Chupi?

Aisee!

- KANA -
 
We umejuaje yote hayo. Itakuwa ni mke wako wewe mwenyewe. Mtoa mada nawe ni fala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom