Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 14,918 Reaction score 28,645 Oct 3, 2026 Thread starter #41 ERoni said: Mkuu, Hakuna mtu special zaidi ya mwingine hapa, trust me. You're not so special, neither am I. Tusiwaseme sana hawa watu wakati hata sisi tuna mapungufu yetu. Click to expand... Hakuna cha kujidanganya katia ukweli Ndo maana kuna ma miss, mwanamke mbovu ni mbovu tu iwe jua iwe mvua, Hakuna haja ya kupindisha maneno, na hakuna dhambi katika hilo, Wameringa sana hawa vikaragosi, kumbe ni wabovu hivi?
ERoni said: Mkuu, Hakuna mtu special zaidi ya mwingine hapa, trust me. You're not so special, neither am I. Tusiwaseme sana hawa watu wakati hata sisi tuna mapungufu yetu. Click to expand... Hakuna cha kujidanganya katia ukweli Ndo maana kuna ma miss, mwanamke mbovu ni mbovu tu iwe jua iwe mvua, Hakuna haja ya kupindisha maneno, na hakuna dhambi katika hilo, Wameringa sana hawa vikaragosi, kumbe ni wabovu hivi?
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 14,918 Reaction score 28,645 Oct 3, 2026 Thread starter #42 Ama kweli Tukisema tufanye tamasha la miss jf kutakwa na contestant wangapi? Aisee jf hakuna warembo kabisa🤣🤣🤣
Ama kweli Tukisema tufanye tamasha la miss jf kutakwa na contestant wangapi? Aisee jf hakuna warembo kabisa🤣🤣🤣
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 14,918 Reaction score 28,645 Oct 3, 2026 Thread starter #43 Haya basi, wanabodi Njooni nawaita woote mje huku tupige kura za kusaka miss jf..