Heeeee makubwa aya msomi wa chuo kikuu kwan kuna wengine ni wasomi sio wa chuo kukuu???
Hivi kwa nini asilimia 90 ya id zinazotafuta wachumba huwa ni ngeni?
Mmmmmmmhhhh mi napta tuu maana mi elimu yang 7
Habari zenu humu ndani.Natafuta mchumba awe gentleman,msomi wa chuo kikuu,mkristo mwenye hofu ya Mungu,mchapa kazi yani asiwe mvivu,awe wa kimo chochote lakini ariwe mfupì sana na atakae kuwa serious nami na awe single mana sitaki kushare na mtu. Mimi ni msomi wa chuo kikuu,mnene kiasì,mrefu kawaida na nina rangi yangu ya hasiri,rangi ya chocolate.Tunaweza kua marafiki tukilidhiana ndo tuingie kwenye stage ya uchumba.Kwa atakae kua tayari ani PM asanteni
Mmmmmmmhhhh mi napta tuu maana mi elimu yang 7
Hivi kwa nini asilimia 90 ya id zinazotafuta wachumba huwa ni ngeni?
Ni hatua tu nazan hata ww uliipitia ulivokua mgeni humu
Yah mimi ni mgeni mkuu
Hatua ya kutafuta mchumba au ya ugeni?
Mafikizolo amenielewa nazungumzia niniVyotevyote
Mchapa kazi, yaani asiwe mvivu.
Hapo sijaelewa aina ya kazi unayomaanisha asiwe mvivu kuichapa[/QUOTE. Hujaelewa nini hapo..?
Hatua ya kutafuta mchumba au ya ugeni?
Hatua ya kutafuta mchumba au ya ugeni?