Wanaume bwana!


Kwa kweli makalio yenu kuna mengine yanatamanisha sana maana unakuta wengine wana makalio yaliyoning'inia sana kama mkia wa kondoo ndo sababu tunasahau kukumbuka tabia.
 
Last edited by a moderator:
Wanajua Wenyewe Wanachoangalia
 
Usipate pressure bure kanuni ya wanaume ni "Out of sight out of mind" hivyo kalio likishapita analisahau na kuendelea na shughuli zake kama kawa. Ukiniuliza sasa hivi jana nimeona makalio mangapi wala sikumbuki.
 
Kweli ni kwamba uzuri wa mwanamke 1:Ni tabia 2:Ni umbo lake 3:Sura.Ila sasa tabia imejificha kinachochukua nafasi badala yake ni umbo na ukishapishana nae umeshamuona sura na umbolake kwa mbele(kifua) kinachofuata nikuangalia mzigo halafu unarudisha akili kwenye tabia ndomana lazima tugeuke ni(mtazamo tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…