Wanaume bwana!

Wanaume bwana!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,378
Reaction score
3,392
10.jpg


Mbona mnatuchanganya?

Eti mnasema uzuri wa mwanamke ni tabia!

Kama uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona tukipita mbele yenu mnaangalia makalio yetu?
Au tabia za wanawake ziko makalioni?

Ukweli ni kwamba wanaume wengi huona makalio ya wanawake ni muhimu kuliko tabia

Uongo?

Nasema na nyie #TeamBazazi
Kaizer, utafiti, Mentor, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Nyani Ngabu, Mndengereko, Elli, ayanda, mwekundu
 
Last edited by a moderator:
Hadi flat screen mnazikodolea macho...
 
Ukweli ni kwamba macho hayana pazia kuangalia sio kupenda ni mazoea yetu wanaume ni kuangalia mbele na nyuma kila anapopita mwanamke hata kama nyuma ni pasi kuna mengi tunayoangalia kama miguu ni ya chupa, kichwa, shingo na nywele kwa nyuma, mwendo na kadhalika kwa kusafisha macho tuu lakini sio kwamba tutamuhitaji wala nini na kama mtu atamuhitaji ni kwa hamu tuu sio ndoa, labda awe na vigezo vyote vinavyohitajika kuwa mke.
 
tabia ya mtu sio kitu "tangible" yaani huwezi kuwa unapishana na mtu ukasema uangalie tabia yake huku mnapishana. Ila ma.ta.ko si yanaonekana tuu bwana,sasa kwa nini tusifaidishe macho yetu?? but haimaanishi ndo tumekupenda na tunataka kukuoa tukitumbulia macho 'bambataa' yako; ila kwamba macho yetu yamefurahishwa na miili yetu imetamani.
 
Mkiangaliwa kwa mbele oooh unaniangalia, ngoja tuangalie usipoweza tuona
 
Back
Top Bottom