Wanaume,,Bikra iko hivi

Wanaume,,Bikra iko hivi

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,190
++
Kumekuwepo na baadhi ya wanaume ambao wanapotafuta wenza wa maisha basi,,wangependa kupata mwanamke bikra..Nadhani bado wanaume wengi wanajua machache kuhusu bikra.Basi wasome hapa
++
Kuna kiungo kama musuli ambacho chaweza kuwa kigumu,upande wa nje wa uke wa mwanamke.Kiungo hichi ambacho ni kizinda ndicho huitwa Bikra.
Nafasi iliyoko kwenye kizinda cha msichana bikra ni kiasi cha upana wa inchi moja.
++
MUHIMU KUTAMBUA
50% ya mabinti husikia maumivu kidogo wakati bikra inapotolewa.
20% hawapati maumivu yoyote.
30% husikia maumivu makali
Wakati mwingine binti anaweza kupoteza bikra yake kutokana na shughuli za kawaida,,hivyo usidhani imetoka kwa mapenzi tu.
++
KWA MUJIBU WA UTAFITI WA Dokt Marie Robinson
++
 
Fanya wewe utafiti wako kwanza ili udhibitishe kama kweli huyo dokta anachosema ni ukweli maana madokta wa siku hizi si lolote hata kidogo. Si ndo walewale waliobaka udokta??
 
++
Kumekuwepo na baadhi ya wanaume ambao wanapotafuta wenza wa maisha basi,,wangependa kupata mwanamke bikra. Nadhani bado wanaume wengi wanajua machache kuhusu bikra. Basi wasome hapa
++
Kuna kiungo kama musuli ambacho chaweza kuwa kigumu,upande wa nje wa uke wa mwanamke. Kiungo hichi ambacho ni kizinda ndicho huitwa Bikra.
Nafasi iliyoko kwenye kizinda cha msichana bikra ni kiasi cha upana wa inchi moja.
++
MUHIMU KUTAMBUA
50% ya mabinti husikia maumivu kidogo wakati bikra inapotolewa.
20% hawapati maumivu yoyote.
30% husikia maumivu makali
Wakati mwingine binti anaweza kupoteza bikra yake kutokana na shughuli za kawaida,,hivyo usidhani imetoka kwa mapenzi tu.
++
KWA MUJIBU WA UTAFITI WA Dokt Marie Robinson
++

Maelezo sahihi ya BIKRA (Virginity) ni kuwa imma mwanamke hamjui mume (tendo la ndoa) au mwanamume hamjui mke (tendo la ndoa hili hilo). Wanaume pia wanaweza kuwa bikra.

Kama ilivyosemwa hapo pekundu, mwanamke anaweza kuipoteza hiyo ngozi (hymen) katika michezo (riadha), kupanda farasi, baskeli, nk. Technically, kama mwanamke amepoteza hymen yake kwa michezo (riadha) na sio kwa ngono basi yeye bado ni bikra.

Katika mfumo-dume wetu tunasisitiza lazima mwanamke atoke damu atakapokutana na mwanamme kwa mara ya kwanza la sivyo basi sio BIKRA.

Nasubiri masahihisho.
 
Kifyatu
Siku zote napenda comment za aina hii.
Umechangia kisomi na kitaalamu.
Umenisaidia kuyaweka vizuri yaliyo ni tatiza namna nzuri ya kuyaweka yaeleweke.
Sina cha kusahihisha
Thanks for being a great thinker.
Natamani Members wengine wangefuata nyayo zako,,sio mtu anakurupuka utadhani kalazimishwa anaandika ilimradi waone ameandika
++
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya kutoka bahati mbaya ni uongo,usitoe excuse mkuu ikawa wanazichezea halafu akiolewa anatoa story kama hizo!

++
BONGOLALA
Ha ha ha Mkuu nimekupata,,wanachochochezea si bikra tena,,huwa inatoka mara moja tu,,ikitoka hairudi na ikirudi sio orijino
++
 
Last edited by a moderator:
bila kusahau bikra hii waweza kuirudisha kwa kutumia kaisiki......!!!!!!

++
Evelyn Salt
Mambo vipi,
Nakuomba sana tuibie siri kidogo juu ya hiyo kaisiki hata kama kuna thread ilisema umepata mchumba humu ndo maana ukaadimika kwa hofu ya mpenzi wako asione comment zako
Asante kwa ujasiri Evelyn Salt umerudi tusaidie kwa hili kupitia ujasiri huu
++
 
Last edited by a moderator:
Bikra is irreversible and non-renewable material-i min utamu au radha ya mwanaume

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bikra is irreversible and non-renewable material-i min utamu au radha ya mwanaume

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

++
Ha haaa mwekundu
u have a psychological logic here,,wanaoota bikra wanatakiwa walijue
++
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom