Wanaume bana, wanapeeenda kuchungulia

Ubinafsi unatumaliza. Twayaona haya na tunafumba macho.

Lkn kwenye hizo picha si wote wanafanyishwa kwa ujira, yapo mazingira mtoto inapaswa ashirikishwe ili asiwe na tabia kama za zomba na MAFILILI ukubwani (za kutegemea kuishi kwa ASANTE NAPE)

Najuwa bila kumtaja zomba hauna raha.

Sheria za Tanzania zinaruhusu mtoto wa miaka 14 kufanya kazi. Jee, kuna gwanda aliyepeleka mswaada wa kubadili?
 
Last edited by a moderator:
nchi hii ina watu mazeta sana..sasa hilo la nini yaani hilo ndo linakuwa JWTZ afu linazama mtoni huko comoro tunapoteza muda kufanya rambirambi..aggghhhh
 
Sipati picha huyu anafaa kwa staili gani??!!
 

Kama multiple choice questions hapo Mbuzi Mzee jibu ni NONE OF THE LISTED! Huyu nadhani ni Mlinzi wa Wanyama Pori-TANAPA; japo kumfundisha kama aonekanavyo kwenye picha ni JARIBU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…