Wanaume badilikeni!

Acha ushabiki!
Humu kuna ke wanaponda wanaume na kuna me wanaponda wanawake!
...
Ingekua vyema ungetumia "TUBADILIKE!"

Ila wanaume ndo mnaongoza kwa malalamiko, mmeanza ndo maana na sisi wakati mwingine tunaona tuwajibu kwa style hizo,

Na ww uache ushabiki maandazi hapa!
 
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!

tusifie kwa mazuri kama yapi?
 
Mie wa humu hata wakiponda vipi hawanipi pressure..ukweli utabaki kuwa ukweli... Wanaume banah...
 
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!

Pole sana dada tutaanza kuwasifia. Ila leo umependeza!
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

hahahaaa umenifurahisha mkuu ktk huo mgomo mimi sitahusika kwa kweli
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

Akunyimae mbaazi...................Kwa jinsi ninavyoona post humu,Nakwambia kuna watu watafurahia huo mgomo tena wataomba uendelee!Kuna siku nimecheka eti,unakuta dada papuchi inatoa harufu kama vile panya kafa,nyingine eti unamkuta dada kavaa pichu kama pensi ya Ronaldo ametoka uwanjani na mvua ilinyesha,tena mechi imechezwa uwanja wa Karume,haoo lazima wafurahie mgomo,teteheeee
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

hahahaaa umenifurahisha mkuu ktk huo mgomo mimi sitahusika kwa kweli

Nimekupendaje MankaM,safi sana,utawajua tu mawife material,Ugomvi wetu kwani hao wengine (papuchi na dushelele) wanahusika vipi?
 
Last edited by a moderator:
Watu wanasifia sana, ila huwa wanasifia huko huko mitaani na majumbani. Humu wakija ni kuja kulalamika ili wapate msaada. Kumbuka watu wengi hawahitaji msaada kwenye kusifia wanajua sana tu.:smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom