McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!
Tena mgome siku za hedhi....Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!
Ee walaaaaa... Tena na hivi usivyopenda wanaume wakata mauno, ndo usigome kabisaaaa..... Maana ukigoma tu, kwa ukame utakaousabaisha, siku unagawa mzigo utakatikiwa uno hadi urudidi kwenye mgomo...hahahaaa umenifurahisha mkuu ktk huo mgomo mimi sitahusika kwa kweli
Kila kitu inawezekana mkuu, oohh mtalia nyie!
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!
Kwa hiyo shida yako ni kutaka kusifiwa tu?
Haya hongera kwa kuanzisha thread bi mkubwa...
Alie nani...??? Nyie si ndo mnakuwaga wa kwanza kulalama kuwa mnanyimwa kugegedwa...??? Ndo mtaweza kugoma kweli...??? Hivi, utamgomea mumeo tu au hadi vidumu..??? Maana isije ikawa unamgomea mumeo halafu unampa kidumu at the end of day kumbe tumebadilisha, wa ndoa hii kaenda kwenye kidumu kile na wa huku kaenda kwenye nyumba ndogo yake.
Na kama utagomea kila sehemu kuanzia ndoani hadi kidumuni, kwa jinsi wengine mlivyo na vidumu vingi, sijui mtakuwa na migomo mingapi.... Kidumu cha kukununulia nguo umekigomea, mume wa ndoa umemgomea, kidumu cha lift ya kuendea kazini umekigomea, kidumu cha kukununulia ma ipad, ma samsung etc umekigomea (unatafuta kurudi kwenye nokia tochi kama si twanga pepeta), kidumu cha kukununulia vits eti nacho umekigomea (unatafuta kutembea kwa mguu kufuata daladala kituoni) .... HAMUWEZI KUGOMA NA HIZO GENYE MSHINDO ZENU
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!
hivi hii ndio asset kubwa mliyonayo? mie wala sishtushwi ukininyima unadoda nayo hata mwezi