Wanaume badilikeni

trudie ni huyu huyu mwamba ndio ulileta habari zake za kimoja holla humu? Kama ni yeye dah huyu mwamba amekosa mwanamke mwenye koromeo wallah, atakuwa anasemwa na kufunguliwa threads kila akikosea, huyu mwamba namhurumia...kama sio yeye ni heri tu!
 
trudie ni huyu huyu mwamba ndio ulileta habari zake za kimoja holla humu? Kama ni yeye dah huyu mwamba amekosa mwanamke mwenye koromeo wallah, atakuwa anasemwa na kufunguliwa threads kila akikosea, huyu mwamba namhurumia...kama sio yeye ni heri tu!
Sio yeye mkuu, halafu siku naandika hii thread huwezi amini nilikuwa na mpenzi wangu pembeni. Yeye alianza kuandika thread kuhusu mimi na akanipondea sana( alisema ni utani) na mimi nikasema ili kumkera nitajibu mapigo nikaanzisha hii na mwisho wa siku tukakubaliana tusiwe tunataniana ujinga. Na niliandika kuhusu kupiga kimoja sababu hakuna kitu kinamuuma mwanaume kama kuambiwa hivyo iwe kweli au uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, mbona mlikuwa na utoto mwingi kiasi hiki mkuu? How old were you then?

Japo ukisoma kwa kuunganisha matukio unaona kabisa ni huyu mwamba, 2017 ndio uliandika hii episode, your baby ana 4yrs now maana yake alizaliwa 2018 na mimba mlipeana 2017/18 hapo kutegemeana na mwezi alipozaliwa mtoto.

Well well!
 

Mkuu bora mimi ambae huku hakuna anyetujua, bora ukasemwa mapungufu yako kwa watu wasiokujua kuliko kusemwa na kuambiwa na watu wanaokujua inafedhehesha sana.

Back then i was 24 yrs old na ni kweli yeye alitangulia kufanya utoto nikajibu alipoanzia yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUmesikia tutajirekebisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…