Wanaume baadhi ni maharage ya Mbeya

Wanaume baadhi ni maharage ya Mbeya

Kwani goli zinatakiwa kuwa ngap for whole night
 
Hv tunasex ili iweje?..
kwangu mm ni kupata raha ukijichelewa au ukichelewa kufika utajijua mi nikitimiza yangu kwa performance ya kibinaadam nateremka.,maana huo mfuko haujawah kujaa ukitaka kufurahisha magumegume yote jijini utaangukia kwenye viagra ma Bro,.na huo ndio mwisho wa uanaume.
 
na kwa nini utangaze sema wengi wanakosa amani akiona ameshindwa fanya mambo.. wanaume waoga wengi kama hawezi kazi .. we kuna mwingine kimoja lakini kinatosheleza ,.. na mwingine nane lakini kama vya jogoo
Kwa hiyo sasa mnataka kikoja hevi au vingi vyepesi..??
 
Inategemeana hicho kimoja kina uzito ganii maana some times kimoja cha mwanaume basi mdada kaenda zaid ya mara tatu sasa sijui mnahesabu idadi ya kupiga bao au kuridhishana.!!? Labda mie ndo sijaelewa maana kuna wengine hicho cha kwanza kabla hakijatoka mdada kesha omba apumzike zaid ya mara nne.
Kimoja kama cha jogooo
 
Wanaume wengi ikiwemo Dar hupiga kamoja tu na kuwa hoi. Wengi wao ni kujenga six packs alafu kwenye game holla. Hebu jaribuni kula vizuri basi mnatuaibisha bhana.
Bao moja ushindi tosha kwa mwanaume ikiwa mwanamke amefika kileleni. Kuna wengine hufika saa limoja kupata hicho kimoja tunaondoka hapo na kwenda kutengeneza hela.
 
Kinga ni bola kuliko tiba, nadhani kujizuia kwa vichochezi vya tatizo hilo ndo jambo la muhimu, gentlemens tujizuie kuangalia porn malanyingi,punyeto hivi ni baadhi2, lawama hazijengi
 
Back
Top Bottom