Wewe Jasmon Mambo mengine uko smart ila kwingine sasa mhhhhNimeipenda sana hiyo ^Jeipm^ --- naomba tuungane ili kuishinikiza Bunge liondoe ukomo wa muda wa utawala wa Rais, ili Bulldozer atawale hadi miaka milioni ngapi huko.
Shida itaanzia hapo, haya mambo ni very complicatedAisee.
Ni wazo zuri kwenye mazingira kama hayo. Ila kwa upande wa pili inaweza ikawa mwiba mchungu kwa watoto wako na mke kudhulumiwa nyumba na ndugu zako iwapo mume utafariki.
Hili nalisemea ili liwe fundisho kwa wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mafanikio ya mwanaume ili wakinukishe wagawane Mali.
Hili limemtokea mwamba Fulani jirani yetu hapa. Mwanamke kachukua mkopo akagushi nyaraka kuonyesha kuwa huo mkopo wamekubaliana na mmewe, baada ya kuchukua mkopo huo kwa siri bila mmewe kujua na baadae mambo yakamuendea kombo jamaa wa mikopo wakaja kupiga nyumba mnada