miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
-
- #61
hana jipya. Frustrations za vi boi vyenu mwaja tujumuisha wote hapa.
Sijui hili neno "povu'' lina maana gani.O
Sijui kwa nini povu linakutoka sana na unakurupuka,calm down boy hii ni hoja tunachangia!
Hilo nalo neno.... Nikiwa kama mwanaume hujisikia fakhari pale ninapomhudumia mpenzi wangu wa ukweli.... note keyword WA UKWELI.
Huwa ni faraja kubwa kwangu iwapo kuanzia pichu hadi makeup na kila kitu ikiwa imetoka mfukoni mwangu....
Tatizo linakuja wa kwamba sisi wajibu wetu tuhudumie nje... ninyio muhudumie ndani... MNASHINDWA!!!
Unarudi kubeba mizigo usiku mgongo ukiuma.... unaingia ndani unaambiwa chakula kipo jikoni kajipakulie... au unakuta nyumba usafi haueleweki... Na huyu hachelewi kukwambia mimi nimepika wewe uoshe vyombo... HAPA NDIO MNAPOHARIBU
Babu zetu walikuwa wanahudumia asilimia mia tano... ila na wao wakiingia wanahudumiwa... aisee mizigo yote bwana akiingia inapokewa... wale jamaa zangu wa mwambao wanapokea hadi nanihino zako.. zinawekwa kwenye kisahani kidogo (kisosa) chenye mafuta... unafikiri hapo janadume lisihudumie? Akiingia chooni bwana anaogeshwa kwa maji ya asumini huku akisuguliwa mgongo na akiimbiwa mashairi... Hapo huduma zitatoka tuu.. wakati wa kula nako... bibi anakaa hapo mbele yako, hakuambiii niachie niangalie marichuy yangu au secreto de amor... dume linakula huku akipepewa na vile vijikawa/vipepeo vya duara jina lake sivijuwi....
Yaani hii huduma yapaswa iwe ya pande mbili... Msitake kuingia mifukoni tu bila huo mfuko kuukanda kanda...
Tunafahamu kazi za ulezi ni nzito sanna.... tunawathamini kwa mchango wenu wa kutuzalia wana.... ila na sisi mtuthamini for paying the bills and putting food on the table... hapo ndio morali ya kujituma tunapoipata zaidi...
Masalaam.
nani kakwambia nahitaji mwenzi wa maisha? mkuu sina stress za upweke ila si kila mtu anahitaji hayo unayofikiria .... ila some of suggestion tu mjipange upya mmepoteza mwelekeo rafikihuna jipya bi dada. Anza maombi tu MUNGU akujalia wako wa maisha. Kupumzika hapa stress zako za upweke haisaidii.
Pole.
kijana pambana bwana heshima si kumpandia mkeo bali how you handle her
nani kakwambia nahitaji mwenzi wa maisha? mkuu sina stress za upweke ila si kila mtu anahitaji hayo unayofikiria .... ila some of suggestion tu mjipange upya mmepoteza mwelekeo rafiki
Eli79 kuna mda muwe realistic, kuja kwako ni makubaliano ya wote wawili kutoroka ni kati ya mambo amabyo tunafanya kwa upendo ....hatuhitaji nusu ya mishahara yenu tunahitaji kuona huduma na maendeleo nipo na wewe nagain nini ? kiukweli kama ni mzigo aisee no no no..... mnasaidiwa huko nje
no frustration rafiki ila men mbadilike umeshindwa majukumu mnapoteza hadhi ya kuitwa mwanaume ...... kila siku mnachapiwa tu ujuulizi
ukiona kuhudumia ndani kashindwa jua kuna mahali ujashika vizuri rafiki... jievaluate rafiki utaona
Sijui hili neno "povu'' lina maana gani.
Wote tunachangia mada, nadhani wewe ndio ujiangalie zaidi. Work hard kwa ajili ya future yako.
Sio kulalama nimemuacha mwanaume vile ''hanihudumii''..Hukwo ni kuonyesha jinsi ulivyo materialistic na jinsi utakavyowaacha wengi.
if your reponsible its okey .... nipo na wale ambao hawapo responsible kijana sijasema ni all society ila wapo wengi tugo for love. Acheni tamaa. Mnakutana na wasafisha rungu tatizo. Wanaanza vituko mwaleta hapa.
Tuko responsible kwa tuwapendao. NUKTA.
If you can't argue, don't start an argument!I am too old to argue with you boy
Trust me.... breed ya wadada wa siku hizi ni shiddaaahh.... wanazidi uvivu kila siku zikienda... wadada, wakaka... hii dotcom generation ni sheeeeddddaaaahhh!!!
Mpatie dhahabu na nguo za silk.... mpatie misosi mizito mizito.... kitandani mfikishe hata mara nane kwa siku.... akiumwa hadi bibi yake rafikiye wewe hudumia.... ila bado ushishangae unarudi ndani ukamkuta yuko hovyo... unafikiri kwa nini baadhi ya manunda wanamega dada wa kazi wao? (naskia siku izi dada akiwa mzuri wa sura kidogo tu hamumumtaki.... mkitafuta mnatoa moja ya criteria AWE NA SURA KAMA NGARIBA) yote ni kwa sababu mdada anajitumaaaa!!!!
Na wengi hawajui majukumu yao.... Tuwe mashahidi sisi na nyinyi... lini mtu kaingia na mpenzi wake chooni akamuosha? akamsinga? akamsugua kila corner? Baada ya tendo wangapi wanawapangusa wapenzi wao kwa vitambaa laini huku wakiwashukuru kwa gemu nzuri na kuwasifu?
Sisi wanaume tunakubali kuwa ni kweli tumezidi ubahili... ila nanyi kubalini kuwa mnashindwa kubembelezaaa... after all wahenga walishasema zamaniii kuwa MANENO MATAMU HUMTOA NYOKA PANGONI.....
We are responsible to our loved ones.
ukiona unapangishwa ujue wote amjielewiHaya nimeshasoma nitafanyia kazi ila msitupange maana kuna wanawake wengine mnaweza kujikuta mmepangishwa watu 10
ha!!! ha!! ha!! ha!! ha!! ha!!
naona umepata mashabiki wa kutosha mmeamua kunikalia kooni leo...!!!