Wanaume ambao hawajaoa ni WACHAFU

Duh umenikumbusha enzi za Mabibo hostel block E na Main Campus Hall 2...ni balaa
Sasa shughuli ndo mmenda kudiscuss lazima muhame...
 
Kwahiyo wanaume waliooa ni wasafi, au wake zao ndio wasafi?

Sema wanaume wengi, au baadhi ambao hawajaoa ni wachafu, ila sio wote. Kama wewe umeona na ulikua mchafu enzi zako, basi sio kila mtu ni mchafu.

Wanaume mliofikia umri wa kuoa, oeni bwana muwe wasafi...

NB; Sio wanaume wote ambao hawajaoa ni wachafu...
Alishajibu
 
Kwanza kabla ya yote na hatujafika mbali,Kwanza wewe ni kaka au dada??Ukijibu hili swali then tuta go on na topic!
 
Back
Top Bottom