wewe umeoa?
ni tabia ya mtu tu, mbona kuna mens ambao ni wasafi kuliko womens!? na kuna wanawake ambao ni aibu, uswaz tunawaona analala na mme wake akiamaka asubuhi hana kuoga wala nini na anashinda na kitenge ambacho hata hakieleweki ni cha rangi gani mng to evining, huyu naye tumuweke kundi gani?
.Nimekuwa nikiongea na marafiki zangu na wengi (mademu) wamekuwa na maoni kuwa wanaume ambao hawajaoa ni wachafu ukicompare na waliooa kwa kurefer observations zifuatazo;
i) Wanaume wengi ambao hawajaoa huoga mara moja tu kwa siku (wengine hata siku mbili au zaidi), hali inayopelekea kunuka majasho, na katika kufunika hili hujipulizia perfume kali. sasa timbwili linakuwa anapoingia kwenye majambo, dk chache tu majasho mapya+ya zamani+perfume unakuta ananuka uvundo...
ii) Wanaume wengi ambao hawajaoa hufua kufuli zao mara 1 kwa saa 24 (au zaidi), na ukiwafuma kwa gafla (kama hamkupanga) unakuta wana kamchirizi keusikeusi sehemu ya chicni ya kufuli kwa ndani. Kufunika hili wengi hupenda kuvaa boxer za rangi isiyoonyesha, hawavai nyeupe
iii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanafuga mav***
iv) Wanaume wengi ambao hawajaoa kwa kuwa mara nyingi wanakuwa na ukame, ni rahisi kula hata mademu wa chini ya viwango vyao (hata makahaba), hii inasababisha unaweza kukutana nae gafla ukakuta katoka kunyonywa.
v) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanavaa nguo ambazo hazifuliwi mara kwa mara, zinakuwa na kaharufu....
vi) Wanaume wengi ambao hawajaoa soksi zao zinanuka...
vii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanakuwa na fangasi kwenye korodani (sijui kwa nini!)
viii) Ukiingia gafla kwenye chumba cha mwanaume ambaye hajaoa, mara nyingi kinakuwa kichafu balaaaaaaa....
ix) Wanaume wengi ambao hawajaoa hupiga mswaki mara 1 tu kwa siku (asubuhi) hivyo mara nyingi wanakuwa na vinywa vichafu..
Wanaume mliofikia umri wa kuoa, oeni bwana muwe wasafi...
NB; Sio wanaume wote ambao hawajaoa ni wachafu...
aogee kiwe kimelowalowa afu asikianike, we! huo uvundo wake balaa!Nachukia wanawake wanaokwenda kuoga na kanga au kitenge halafu hawavifui, wanavitumia weee mpaka vinakuwa kama ngozi. Huwa vina uvundo balaa