wanaume acheni tamaa mbaya

View attachment 98724

Huyu jamaa mwenye nyumba masikini ya Mungu amejenga jengo hilo miaka mingi sana lakini amekuwa akiteswa na mafuriko muda wote huo na hajawahi kuhamia nyumba yake.
 
View attachment 98724

Huyu jamaa mwenye nyumba masikini ya Mungu amejenga jengo hilo miaka mingi sana lakini amekuwa akiteswa na mafuriko muda wote huo na hajawahi kuhamia nyumba yake.

Kashindwa tu kufikiria zaidi (akili finyu za kibantu) ; Wenzetu wanajenga airport izima baharini ndio sembuse ya maji ya mvua ya wiki mbili mbili?

Angeshakata hiyo structure kwwenye level ya madirisha hapo aweke kagorofa juu yake. Chini apark mitumbwi for rainy season. Habari kwisha.
 
sidhani kama ilikuwa tamaa. nadhani huyo mtu alidhani mwenzie anazama ndo akaamua akamwokoe kumbe......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…