Wanaume acheni tabia ya kusingizia misuli itawauma na kushindwa kulala ili mpewe tendo la ndoa

Habari wana Jf
Kwanza nianze kwa kucheka
Hivi hii tabia ya wanaume kusingizia kuumia misuli na kushindwa kulala pale inapotekea nyoka amesimama ili tu apatiwe tendo la ndoa na mwanamke ikiwa mwanamke hayuko tayari mnaitoaga wapi ?

Kama kuna mwanaume hajawahi kudanganaya hivi aseme hapa nione.
Kwa sababu mnajua sisi wanawake ni mama huruma ndo maana mnapenda kuongea hivyo na ninasema uongo wenu mwisho Leo.

Yani Leo nimeenda kwa rafiki yangu aliniomba nikamuandikie Business plan nashangaa wake amesimama hatuna hata mahusiano alafu tunaheshimiana anaanza kuniambia oooh naomba unisaidie Nina siku nyingi hivyo nitaumia misuli sjui na kwa sababu ndo uongo wanaopenda kutumia wanaume nimemuacha nimesepa zangu bila hata kumaliza kazi tuliyopanga nione kesho kama atakufa au ?

Wanaume hivi kwanini sio wakweli kwenye suala LA kupata penzi mtaacha lini kutumia hili neno na mkae mkijua huwa tunawapotezea tu ndo maaana tunawaomba sana pesaa ili kuwakomesha.

Hii nilishawahi kusingizia hii kitu...nimecheka sana
 
Policerad.gif
Doppler effect
 
Sasa ulipoona joka lake linataka kula, na akakuomba umsaidie, kachoka kulishikilia ili liingie shimoni kwako kula, umeshindwaje kumtoza faini kubwa ya papo kwa papo ili uliruhusu likale?
Tatizo ni la kweli, kwamba joka lake likiwa na njaa, halichagui shimo la kuingia kusaka mlo.
Iweje leo uje hapa kidhalilishaji namna hii kutafuta huruma ya umma, wakati uwezo wa kutoa kibali kwa njia ya faini kubwa ulikuwa nao?
Au alisema hawezi kukulipa pindi joka lake ukilirusu liingie lile na kushiba?
Poooh nilikuwa mwezini
 
Back
Top Bottom