Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Hivi wanawake gani hawa wanaowapa pesa wanaume hahaha.

Hawa hawa ninaowajua. Sijawahi kuona mwanamke asieumwa na pesa yake. hata akikuambia kuna shida hii na anapesa yake ukamwambia lipa nipo busy nitakurefund ataanza kujiuliza uliza.
Huyu mleta mada anataka kuwatoa watu nyongo tu hapa, hamna lolote la ukweli kwenye hii thread yake hata ukisoma replies zake utaona ameandika vitu vingi sana imaginable kwa madada wa kibongo tunavyowafahamu.

Hawa wanawake kibongo ambao hata akikupa UCHI anaona kama vile amekupa zawadi ilihali raha mnapata wote leo hii ndio aje akupe hela? halafu bado hapo hapo akupe na UCHI bila gharama yoyote? labda sio bongo hapa.
 
Kwanza huo ujasiri tu wa kuingia kumlala mwanamke lodge kalipia yeye sijui unatokea wapi aiseee, au mwanamke una kwako eti nije tudinyiane hapo kwako nooooooooh!
Huwezi sababu you are manipulated man, victim of outdated patriarchal system of life.
 
Hi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon
Uzoefu unaonesha wanawake wenye wanaume marioo Mungu kawapa hela tu, vingine msiniulize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechanganya lugha hata sijakuelewa hicho sijui kigiriki sijui kiinglish na mimi wapi na wapi
Outdated patriarchal system ni mfumo wa maisha ambao umeegemea sana kwa mwanaume kwenye suala la majukumu, yaani ni aina fulani ya maisha ambayo mwanaume ndio anabebeshwa majukumu mengi sana hata yale ambayo yanaweza kufanywa na mwanamke. Ni mfumo wa maisha ambao kwa dunia ya leo umeshapitwa na wakati, ila kwa bahati mbaya sana huku afrika bado tunaukumbatia na wanaume wengi sana ukiwemo wewe bado umewakaa akilini. Na kwa hiyo comment yako tu wewe ni victim au muathirika wa mfumo huu.
 
% kubwa ya waafrika huo mfumo kututoka itachukua muda sana
 
% kubwa ya waafrika huo mfumo kututoka itachukua muda sana
% kubwa ya waafrika huo mfumo kututoka itachukua muda sana
na hapo ndipo wanawake wanapochukulia advantage na kuwa wabinafsi sababu tuko manipulated kwenye mfumo huu.. Siku hizi ni kawaida sana kukuta ndani ya ndoa mwanamke anamzidi mume mshaara/kipato lakini hela ya kufanyia maendeleo ya familia yote inatoka kwa mume, ya mwanamke haiguswi kabisa halafu na mume yupo okay tu hili eti anatekeleza majukumu yake.. hahahaha! halafu sasa siku ndoa ikivunjika kwa taratibu za kisheria mnagawana mali 50/50. (mali ambazo zimetafutwa kwa hela ya mume). damn!! we need to wake up
 
Ndo sababu, marioo wengi ni watoto ambao wamekuwa wakiona mama ndo anafanya kila kitu...mtoto hajui hata jukumu lake kama mwanaume sababu nyumba haina mwanaume...halafu mnaleaga watoto wanakuwa wasafiiiiii siku hizi na kiduku kwa mbali mnawanyoa.......kama unamtoto wa kiume unamlea hivo ujue huyo ndo marioo wa baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaziaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom