Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Aah pole inachukua majukumu ya mwanaume mkishaachana tuletee mrejesho hapa
 
How?kwani naishi maisha ya kawaida sana
Sina hata mashauzi haya ya wadada wa mujini
Wanakufanya hvo kwasababu ww ndo ulivo ukitaka upate mwanamme mzur ww ndo unahitaj kubadilika hata kama ulilelewa kujitaftia ndio na una hela hebu acha kuwa mwanamme unatakiwa mwanamme umwombe matumizi kama saloon shopping n.k sasa ww wanakuomba hela kwa sababu ya life stail yako ya kujihidumia kila kitu sa mtu hujawah kuhitaj hela ya matumiz s lazima hata yy atakuomba tu inshort dada yangu acha kuwa mwanamme badilika
 

point taken...ni kweli mwanamke akishakuwa na mihela full nyodo sasa dawa ni moja tuu...positions zote za juu no mwanamke.
their place will always be in the kitchen. hapo dunia itaenda
 
Unakutana wap na hizo type jaman? Yani mm kabla cjaolewa enzi za kudate ilikuwa mwanaume nnae date nae hata akinibip tu naanza kuwa na mashaka aisee, au kuwa na mwanaume anaependa kutuma msg kupiga cmu mara moja moja aisee naanza kupata mashaka, eti ndo uniombe hela block itakuhusu saa hiyo hiyo, huwa nikisikia wadada wanasema wanaombwa hela na wanaume nabaki kushangaa, how? Anaanzaje? Amekuonaje? Au ww ndo umemtongoza?
 
No sichukui majukumu ya yeyote,ila siombi ombi hivyo,nikiomba ni kweli inakuwa ishu serious
Point yangu ni kuwa sipendi na sitaki kuombwa fesha tena na mtu mwenye vichwa viwili
Nitakudharau sana na mapenzi yataisha
Kila mtu atafute fedha zake ,ukinifata unalialia njaa ntakudhalilisha
 
point taken...ni kweli mwanamke akishakuwa na mihela full nyodo sasa dawa ni moja tuu...positions zote za juu no mwanamke.
their place will always be in the kitchen. hapo dunia itaenda
Hahaha haya bana
Ila punguzeni kuombaomba
That's y wengine mnageuzwa
 
Sijawah watongoza,naapa
Ni mi marioo tu ya mjini,halafu ina kazi
Yani aibu tupu
Ukiwa mwanaume halafu unaombaomba ,utageuzwa choko
 
Hahaha sorry
Nisamehe nimeteleza my
Ilikuwa katika kusisitiza tu
Poa mate unaweza toa majina yao tu hahaha, ukute jeraha la Mbasha kwa Fulo limepoa ila akipitia hapa unakutana na Ndongo tena mh hapo inakuwa ngum kumeza.
Kweli mambo ya kuombana pesa yanakela sana kwa pande zote me/ke ila kama ni issue za kusaidiana sawa, ila issue za kuchunana mh!
 
Yani kusimamia show siku moja au mbili unakuja kulalamika humu. Poooor you!!
 
Kwanza pole kwa kukutana na "MARIO" ,pili ukome kuwajumuisha wanaume wote kuwa wanatabia hizo..
Kama umekutana na mwanaume wako wa dar anakupiga vizinga, mshtaki, msehe yeue mwenyewe.. usiseme wanaume.. sema ma ex zangu nilikutana nao.

Real man tuonahudumia tupo na tunaoiga kazi vizuri tu.
Endelea kuandamana na masharobaro ndio hao wanakukumua unakuja kulalamikia jf.
 
Yes . Ungempiga kisomo yeye. Usipende ku include wanaume wote wkt alie kuzingua ni mmoja.
Alaf kuwa makin na aina ya wanaume wanaokuja kwako.. una attract mario ndio tatizo.. jiweke katika shape ambayo real mans tu ndio watakao weza kukupata.
 
Umri Unaenda Wenzio Wanaolewa Wewe Uko Busy kutafuta Mwanaume Wa Standard Zako Sijui Gari Mara Nyumba Sijui Handsome Kikaenda Kikarudi!! Huyo huyo KAPUKU Uliyenaye Unaweza Ukamvumilia Ukamchallenge Ukampa faraja Ukampa Mapenzi Ukamtia Moyo N.K Mkapata Vyote Unavyotamani!!
 

hahaha mie sina hela hela.. ila nikiwa na bibie.. ah.. najitanuaa vibaya sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…